Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.

Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni "Man of absolute integrity" eti kusema alikuwa ana kusanya kodi kinguvu jamani tuache masihara hawa wabongo bila kuwakomalia kodi hupati, situnajuana.

Qatar usipolipa kodi wanakata kichwa ndio maana wanapiga hatua kubwa na hawana mafuta kama Saud Arabia.
 
Mhede hana busara.

Mhede hatumii logic.

Mhede alikua na kamishna wake mmoja wa custom ingawa alishtuka baadae akamdamp kule ITA ila hawakua wanatumia busara kabisa.

Anyway, Mhede aendelee kusimamia mabasi ya mwendokasi inamtosha.

Wizara ya fedha baada ya mwigulu apewe msukuma.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.
hiki kibabu mnataka kifie ofisini? ni kweli yuko vizuri ila kazeeka, wapo vijana wanaweza fanyakazi nzuri
 
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.

Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni "Man of absolute integrity" eti kusema alikuwa ana kusanya kodi kinguvu jamani tuache masihara hawa wabongo bila kuwakomalia kodi hupati, situnajuana.

Qatar usipolipa kodi wanakata kichwa ndio maana wanapiga hatua kubwa na hawana mafuta kama Saud Arabia.
Endeleeni tu kusumbua akili, lkn nawaambieni tatizo la nchi hii sio mtu, ni chama cha kijani. Najua wengi mtachelewa kuelewa ila ukweli ndo huo
 
Back
Top Bottom