Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.

Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.
 
Why not Jews?
Hawa wameshaji establish as a reputable nation with all superstructure and infrastructure of the highest degree ambavyo hawatakuwa tayari kuviacha..... Wapalestin bado ni kama ndiyo wanaanza /wanajaribu kujenga taifa linabomolewa, they have nothing substantial to lose! Hivyo wakienda kwenye eneo wazi wakaanzisha nchi (with overwhelming world support), they will do away na mateso haya wanayoyapata.
 
Kwenye maisha Kuna mambo 2 ,kuzaliwa na kufa.

Kwa muktadha huo Kauli ambayo ita prevail ni dealth or our land hakuna kwenda mahali.
the war is million miles away ndio maana una guts za kusema hayo kirahisi. Mimi kama binadamu sifurahii mauaji yoyote ya upande wowote. Kwa sababu vita huletwa na wanasiasa na instruments zake lakini wahanga ni raia wa kawaida wasiojua hata kushika bunduki.
 
Hakuna anaefurahia ila sijawahi kukubali kuonewa kindezi labda unionee nikiwa Sina namna ya kukugikia ila kama naweza kukufikia utalipia tuu hata Kwa kuchelewa.
 
Alafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.
 
hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.

Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.
Hawa kuna inborn enemity! Si rahisi kubadili inherent enemity mpaka kuwa watani. Mistrust ni kubwa kiasi kwamba watalipuana siku moja....
 
Nalo hili linawezekana. Ni waislamu wenzao, kuwapokea wenzao waislamu very much possible kuliko haya mateso wanayoyapata.Kwani wako wangapi? nchi za kiarabu ziko ngapi? Unawagawanya katika waislamu wenzao.... and the deal is done!
Hawazidi milioni 6!! Humo na HAMAS wamo!! 😂😂Hata nchi mbili tu za kiislamu wanatosha, inshu ni kukubali
 
Alafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.
Think deep, establishment ya wachaga kilimanjaro huwezi kuilinganisha na wapalestina abao kuna mmoja nasema siyo kwao. Kwani wachaga wana mzozo say na wapare? hapa kuna mzozo na mmoja ameshika mpini na anasema ni nchi yao ya hadi! palestina hana establishment firm kama ya wachaga uliowatolea mfano.....
 
Upo sawa mleta mada...

-Hata Wachaga waliwahi kuwafukuza Wapare wakaelekea milima ya upareni.
-Wamasai wamehamia Kilindi.
-Wapalestina wahamie afghanistan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…