covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.