mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Kweli kabisa, na mfano wa karibu kabisa hapa hapa nyumbani.Hilo linawezekana endapo wale wahindi pale posta , kariakoo na Ilala watarudishwa India.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa, na mfano wa karibu kabisa hapa hapa nyumbani.Hilo linawezekana endapo wale wahindi pale posta , kariakoo na Ilala watarudishwa India.
Walikuwepo harafu wakaenda wapi? 😂😂na historia ya ottoman inadanganya ilipoonesha wayaudi walikwepo ndan ya ottoman yaan maeneo ya mashariki ya kati ambayo leo ndo israel
but can work!
Soma zaidi : Between the Ottomans and the Entente: The First World War in the Syrian and Lebanese Diaspora, 1908–1925. Stacy D. Fahrenthold, Oxford University Press (2019).
Wakajenge mwingineHalafu waache Al AQSA pale au wahame nao?
Hawana uchaguzi maana waarabu wenzao hawawezi wasaidiaSwali ni Je, watakubali kuonekana wameshindwa na kuhamishwa?
Nyuki hakumbatiwiHao kama nyuki hawanaga ujirani mwema
#FreeGaza
Mbabe pekee ndo atakaa pale***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao.Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
Mbabe ndo atabaki Israel hao Palestina wataondoka tu watake wasitakeSolution ni Wayahudi wapewe Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
Kwani kuna nchi inatwa Palestina kwenye ramani ya dunia?Kwanini wahame, kwanini wasiachiwe sehemu ya Ardhi yao.
Kama unge ifikilia iyo sentensi hata kidogo tu hapo kwenye mabano usingepost huu ushauri au maoni yakoMapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Mbona ulifukuzwa na bwanako wa uchumi?Hakuna anaefurahia ila sijawahi kukubali kuonewa kindezi labda unionee nikiwa Sina namna ya kukugikia ila kama naweza kukufikia utalipia tuu hata Kwa kuchelewa.
Wakorofi sana
Bwanako gani?Mbona ulifukuzwa na bwanako wa uchumi?
Wapi wakati masaa 24 yanaishaWapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
hakuna kisichowezekana. Ndugu waislamu wenzangu inatumika sana na ndugu zetu hawa, hivyo ndio undugu wenyewe.....Kama unge ifikilia iyo sentensi hata kidogo tu hapo kwenye mabano usingepost huu ushauri au maoni yako
Hko hawawezi kwnda labda New YorkNapendekeza wapelekwe afganstani
Mbabe atabaki paleKwa nin Israel isitafutiwe kipande cha eneo ipishe maendeo ya watu?
Alafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.
Hizo ni mindsets tu wakianzishwa wadogo kuambiwa huyu ni ndugu mwema msipigane
after 30 to 50 years hakuna uadui huo ukanda..