Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

but can work!

WAKAAZI WA MASHARIKI YA KATI KUHAMIA MAREKANI YA KUSINI 1880

Andiko linatujuza kuwa si jambo geni kuhama kwa maelfu kwa hiyari. Andiko hili linafuatilia uhamiaji wa wahamiaji nusu milioni Waarabu kutoka Milki ya Ottoman hadi bara la Amerika ya Kusini kati ya 1880 na 1914.

Wasyria, Palestinians, Israelis na Lebanoni wa milimani waliondoka Mashariki ya Kati ya enzi utawala ya dola ya Uturuki ya Ottoman iliyokuwa mtawala wa nchi za Mashariki ya Kati, ili kutafuta fursa katika uchumi unaopanuka wa kibepari wa ulimwengu wa Atlantiki baada ya azimio la kukomeshwa utumwa pande za Marekani ya Kusini.

Kupitia uhamiaji wa vibarua, Wasyria waliendeleza uchumi wa kimataifa wa kutuma pesa nyumbani Mashariki ya Kati kwa mafanikio makubwa na kufanya uwekezaji pembezoni wa Bahari ya Mashariki ya Kiarabu.

Usafiri wa maji, mawasiliano ya telegrafu, na teknolojia za uchapishaji ziliwezesha kuanzishwa kwa "koloni" za Syria (jalliyyat) huko Argentina, Brazili, na Marekani. Wakiwa nje ya nchi, wahamiaji wa Syria walijenga taasisi za kijamii ambazo ziliunganisha Bahari ya Atlantiki ya Kiarabu katika mabara na kuunganisha diaspora na nchi yao ya asili.

Jumuiya za kidugu, vilabu vya uhisani, jumuiya za misaada ya pande zote, na vyombo vya habari vya Syria vya diaspora kila kimoja kilichangia katika nyanja hii mpya ya umma, na kuchangia mafanikio ya kibiashara ya Syria pia kuvutia hisia za Vijana ya Kituruki nchini Turkey kufanya mapinduzi kuondoa serikali ya kifalme ya Ottoman ya Uturuki 1908.
Soma zaidi : Between the Ottomans and the Entente: The First World War in the Syrian and Lebanese Diaspora, 1908–1925. Stacy D. Fahrenthold, Oxford University Press (2019).

Video hii hapa chini kuhusu Waarabu wa jamii ya Amerika ya Kusini ambayo wengi hawajui historia ya wimbi kubwa la kuhama toka Mashariki ya Kati hadi bara la Marekani ya Kusini, Swali walifikaje na kwanini watu wengi hawafahamu ? Leo tutajadili ugeni mkubwa wa Walevanti wa Waarabu wa Lebanon, Syria na Palestina katika nchi za kisasa za Amerika ya Kusini, na jinsi Mashariki ya Kati ina uhusiano wa kihistoria na nchi hizi nyingi, kutoka Chile na Brazil, hadi Honduras na Mexico.


View: https://m.youtube.com/watch?v=XQsR0sDaSU8
 
Solution ni Wayahudi wapewe Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
Mbabe ndo atabaki Israel hao Palestina wataondoka tu watake wasitake
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kama unge ifikilia iyo sentensi hata kidogo tu hapo kwenye mabano usingepost huu ushauri au maoni yako
 
Hakuna anaefurahia ila sijawahi kukubali kuonewa kindezi labda unionee nikiwa Sina namna ya kukugikia ila kama naweza kukufikia utalipia tuu hata Kwa kuchelewa.
Mbona ulifukuzwa na bwanako wa uchumi?
 
Wapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.
Wapi wakati masaa 24 yanaisha
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!

Napendekeza wapelekwe afganstani
 
Kama unge ifikilia iyo sentensi hata kidogo tu hapo kwenye mabano usingepost huu ushauri au maoni yako
hakuna kisichowezekana. Ndugu waislamu wenzangu inatumika sana na ndugu zetu hawa, hivyo ndio undugu wenyewe.....
 
Alafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.

Mbona loliondo serikali dhalimu ya kijani imewafukuza wa masasi na kumpa muwekezaji ardhi ya wamasai.

Wafilisti waondoke lasivyo watakwisha.
 
Hizo ni mindsets tu wakianzishwa wadogo kuambiwa huyu ni ndugu mwema msipigane

after 30 to 50 years hakuna uadui huo ukanda..

Shida waarabu na dini yao hao ndio tatizo kubwa,dini yao inawafundisha mayahudi na wakristo ndio maadui zao,wawapige wavunje shingo zao la wasilimu,huu si upuuzi dini imekaa kisharishari.
 
Back
Top Bottom