Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

Kwa hiyo unadhani Barbados ni wapumbavu sana mpaka wasifikirie kumpa Diplomatic Pass Rihana?
Unaona unavyo jikanyaga sasa ulisema Marekani ni wajinga hadi wameshindwa kuwapa kina MJ, Rihanna n.k nikauliza kwani Rihanna ni mmarekani?

Eti Katty Perry ni maarufu kuliko MJ, Jay Z, Kanye West?[emoji23][emoji23][emoji23]
Absolutely tena anawazidi mbaaaaaali angalia viewers za ngoma zake YouTube angalia followers wake IG na angalia matamasha yake duniani huko

Eti Selena Gomez ni maarufu kuliko MJ, Jay Z, Kanye West?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mwanadamu aliyekuwa na followers wengi Instagram kama huyu sasa hivi kazidiwa na CR7 tu.
Yani umaarufu wa Selena upo kwa mtoto hadi kwa babu Jay Z kama hawezi kumgusa huyo MJ na Kanye watoto wadogo watawezaje?

Elon Musk usimuingize hapa kwani category yake ni tofauti kabisa na tunachokizungumzia.
Makande ni matope!
Makande ni uharo!
Uzi unahusu watu walio nje ya siasa kutangaza Taifa kwa kiwango kikubwa na Tanzania tunae mmoja tu naye ni Simba.
Elon hatangazi USA?

Kingine acha ushamba, acha kuleta vichambo type ya kike sijui makande na uharo gani na gani, shusha facts ili tuone kweli Mondi anafaa kupewa hiyo kitu ama hafai. Hizo mambo za mduara baki nazo huko huko Mwananyamala na wauswazi wenzio.

Unforgetable
Lazima nikuoseme siwezi ona ujinga unaoufanya nikaumezea mate nikapita never!
Vichambo havijawahi kuwa na identity kwamba hiki ni cha kike hiki cha kiume sio viatu vile!
.
Uswahili muhimu maana mimi ni mswahili kwa hiyo wewe Mu_Estonia au Muingereza?
Nitajie mwanadamu maarufu zaidi Tanzania kama diamond hata baba wa taifa anaweza kusubiri kwa hakika!
 
Ni bora ubishane na mjinga maana huenda hajui na akijua basi ataelewa kuliko kubishana na mpumbavu maana huwa hajui na hata ukimjulisha hana uwezo wa kujua.

Kwa kifupi tuu kaa ukijua HAKUNA MSANII YEYOTE, IWE TANZANIA AU HATA HUKO DUNIANI ATAKAYEPEWA DIPLOMATIC PASS HATA AWE MAARUFU KIASI GANI.

Unforgetable
 
Taifa kutokumtumia mtu kama Diamond ni kukosa ubunifu... tena wangempa na hadhi ya Ubalozi kabisa. Hivi juzi, Idris Elba kutoka Uingereza ametembelea Sierra Leone nchi ambayo wazazi wake wanatoka. Wenzetu kwa kuchangamkia wamempa hadi uraia wa nchi yao. Sisi tuna Watanzania au watu wenye asili ya Tanzania lakini hatujui tuwatumie vipi kuitangaza nchi.
 
Naomuomba Mungu nikiwa mzee niwe bize kulea wajukuu na kusali.
 
Tunakumbuka jinsi Rais Mwinyi alipompokea Michael Jackson... muziki ni urafiki, muziki ni demokrasia.. na ni diplomasia..

Kama ubalozi wa ngono wa kuzaa zaa hovyo mitaani kama nguchiro na kuwaoa na kuwaacha akina Wema kila siku ni sawa apewe ubalozi huo, je unakumbuka siku za nyuma kwanini watoto wa VIPs wetu walinyang'anywa VIP passport za Tanzania kwa kufanya jinai iliyotokana na utoto na kukosa umakini?
 
Haya yote uliyoyasema ilitakiwa serikali wawe wameshafanya kama bado basi tusishangae hiyo ndio hulka yetu, kukumbuka shuka wakati kumekucha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka wayajadili bungeni. Hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hatuzungumzii udaku tunazungumzia kazi yake nzuri anayofanya diamond nje ya nchi yakuitangaza Tanzania na namna anavyoheshimika anastahili kufanyika kitu na serikali.
 
Hapa hatuzungumzii udaku tunazungumzia kazi yake nzuri anayofanya diamond nje ya nchi yakuitangaza Tanzania na namna anavyoheshimika anastahili kufanyika kitu na serikali.
Hao wasanii wanachofanya ni kwa ajili yao
Nazungumzia wasanii wote, Kwani mpaka Sasa wamelifanyia nn taifa au jamii kwa ujumla
Ningesikia wamejenga vizahanati au mashule Sawa..... Au kuwapikia watu birian na kuwalika ndy mnaona huo ni bongo la msaada
Mziki wenyewe wanaopiga ni wa kihuni tu haina mafundisho yoyote zaidi ya kuhamisishana watu wawalane jicho
Msipende kuchukulia mambo rahisi rahisi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana ujui kinachoendelea duniani diamond alitowaga madawati 600 kipindi kulikuwa nauwaba wa madawati lakini pia anasomesha watoto 6 nje ya nchi baada ya hao watoto kushika nafasi ya juu kwenye shule ya tandale Kama alivyoaidi lakini pia mwaka Jana alivyoenda sumbawanga alichangia sh mil 100 kwa ajili ya ujenzi wa mahabara na hiyo shule kumpa Kama zawadi wakaiita jina lake.siku ya birthday yake ya mwaka Jana alitoa bima kwa wakinamama 50 tandale pamoja na bajaji 40 kwa wenye ulemavu.ukiachana na hivyo ameinua vijana kwenye mziki kupitia label yake ambao wametoka maisha duni na kuwa wasanii wakubwa na wenye uwezo wa kifedha mfano Rayvanny, Harmonize,Mboso, Lavalava.ukiachana na hapo amewaajili watu si chini ya 70 madansa, photographers,video production, producer, board guards,it wakuendesha social media na wengine kwenye msdia yake.
 
Hapa hatuzungumzii udaku tunazungumzia kazi yake nzuri anayofanya diamond nje ya nchi yakuitangaza Tanzania na namna anavyoheshimika anastahili kufanyika kitu na serikali.

Asante lakini turudi nyuma kidogo na kujiuliza hivi sasa kati ya Samatta, Hasheem Thabeet na huyo kidudu chini wenu nani angalau anastahili kupewa huo ubalozi kwa kigezo mnachotumia cha kuitangaza Tanzania nje ya inchi? walikuwepo akina Balisidya waliopeperusha bendera nje ya mipaka ya Tanzania mpaka Japan, akina mzee Morris, Mzee Mwinamila, akina Hemedi Maneti na akina Jah Kimbute walitembea Afirika na huko juu walifika lakini hawakupewa VIP passport sembuse mcheza vigodoro? kama mna mapenzi na mahaba nae basi chagueni hoteli mkanywe nae chai
 
'anasomesha watoto 6 nje ya nchi baada ya hao watoto kushika nafasi ya juu kwenye shule ya tandale'.

Safi sana,naomba source ya hii habari nijue ni nchi gani hao watoto wanasoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
'anasomesha watoto 6 nje ya nchi baada ya hao watoto kushika nafasi ya juu kwenye shule ya tandale'.

Safi sana,naomba source ya hii habari nijue ni nchi gani hao watoto wanasoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mzee baba ukuangalia happy birthday aliyoifanya tandale ambayo ilirushwa wasafi tv live pia na YouTube na pia magazeti mengi ya bongo waliandika hayo yote ungejua au wewe unaishi wapi naona Kuna vitu vingi vinakupita
 
Kwani mzee baba ukuangalia happy birthday aliyoifanya tandale ambayo ilirushwa wasafi tv live pia na YouTube na pia magazeti mengi ya bongo waliandika hayo yote ungejua au wewe unaishi wapi naona Kuna vitu vingi vinakupita

Na kweli vitu vingi vinanipita mzee baba,nina professional journals nyingi za kusoma/podcast za kufuatilia.

Kusema ntafuatilia b'day ya diamond hapo ntakudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…