Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Kuweka majina ya viongozi ni desturi ya Dunia nzima, sioni ubaya kwa hilo. Nyerere alikataa sana vitu kuitwa majina yake, na vingi vimebatizwa jina hilo akiwa kastaafu uRais na vingine akiwa amekufa. Hata Mkapa ni hivyo hivyo alikataa akiwa hai. Lakini kiongozi unapokuwa madarani unapokuwa na kiherehere cha kuyapa jina maeneo kama ambavyo Magufuli alifanya kwa rafiki zake kwenye ufisadi akina John Kijazi, Mfugale na Ndugai ndiyo haitakiwi. Naye akajipa stendi ya Mbezi Luis kwa kumuelekeza Selemani Jafo aweke jina lake. Hiyo siyo sawa.
 
CCM kwa kujitukuza Dah, Hatari sana. Yani mali za Uma hujipachikia majina yao kama vile walichangia hela.
 
Mfugale anastahiki,kasanifu zaidi ya madaraja 1000 nchi hii
 
Naamini kuna wakati utafika ambapo miradi hiyo itabatizwa upya. Huwezi kumuenzi kwa mfano kiongozi aliyeliibia taifa, aliyeua watu wasio na hatia, aliyeteka na kutesa wapinzani wake nk. Kinachofanyika sasa ni uchawa wa hali ya juu ili kushibisha matumbo yao
 
They're lacking a worth political strategist! That is why we are observing one illogical issue after another insane matter from them!!! In reality, they can't learn at the same time they are problematic to deal with.

Ujuaji mwingiiiiii!!!!!!!!
 
Sawa kabisa hasa Magufuli na Ndugai yanakera vibaya!
 
Mzee wa mapapa na mbuzi wana Corona mqisho wa siku ikapita naye
Corona haikumuua Magufuli.

Magufuli aliondolewa na mafisadi wa CCM ili waigawane nchi vizuri kabla hajapatikana Magufuli mwingine.
 
Swadakta
 
Asante angalau umetumia akili kidogo kuwasilisha ila usisahau na Ile taasisi ya magonjwa ya moyo pia ibadilishwe jina.
 
Hoja haina mashiko

Kwani yakiitwa kwa majina yao yanaharibu nini?

Si ni bora yaitwe hayo majina ya watu weusi wazawa wa hapa nchini kuliko majina ya Wakoloni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…