PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukisha Toka kuinamisha mgongo masjid akili zinarudi matakoni? Hoja zinawekwa mezani wewe unakuja na ishu za kijinga kutoka kwa mabasha wenu kina duli?
 

Wewe kweli bure kabisa. Yaani wewe hujui chanzo mpaka sasa...!? Hebu tuonyeshe msiba wowote wa askari au number ya hao Askari waliokufa.

Hebu tupe ushahidi wa mtu yeyote aliyekufa akifanyavurugugu au kuchoma kitu chochote.

Hebu tupe udhahifi kuwa watu waliuawa baada ya kuchoma vituo vya mafuta na siyo vise Vesa.

Kama police hawakuhusika ilikuwaje wawazuie wayu wasitibiwe na kuwapeleka mortuary wangali hai wakafie huko?

Open your eyes bro.
 
Kwa nini unajitoa ufahamu??? Chanzo cha haya yote ni Samia na CCM kupuuza matakwa ya wananchi.

Wananchi tulitaka na bado tunataka katiba mpya inayotokana na sisi wananchi. Kupitia hii katiba mpya tupate tume huru kweli kweli ya uchaguzi ambayo ita-FACILITATE and NOT dictate upatikanaji wa viongozi wetu. Pia, tuondokane na Wimbi la utekaji, uuaji na upotezwaji holela wa raia iwe walitenda kosa au kutofautiana mtizamo, kuwe na utawala unaofuata misingi tuliyojiwekea ya sheria.
 
Hiyo akili hana jamani mnamsingizia tu!
 
Mzee.

Hayo yote hawezi kufanya ameonja utamu wa damu za watu huyu mama.
 
Mzee Mwanakijiji Tz kuna ugonjwa viongozi wetu waliongโ€™angโ€™ania kuongoza wanaugua, na huo ni ugonjwa wa kukataa ukweli. Dkt Samia huu ushauri ungekuwa sehemu ya team yake useme hivyo basi anakuua hapo hapo. Akina Mchengerwa hawataki kusikia hawapendwi. Dkt Tulia aliyemdanyanya rais enzi hizo eti wanaokuchukia wachache aliponea chupu chupu kuuawa na waandamanaji aliowaita wachache ๐Ÿ˜‚. Dkt Samia ni sikio la kufa!
 
Hakuna maandamano tutawafurahisha Dec 9 ole wenu vibaka mtoke kuwatia hasira watu
Pole sana, nadhani this time umeona jeshi lilivyojipanga kuzuia mauaji, nyie mliojineemesha kuua watu safari hii hamna pa kutokea
 
Kama Farao tu, Mungu amejaa huruma na hutoa kila fursa ya toba ya kweli na kubadilika, ukivuka mipaka anaufanya moyo wako kuwa mgumu kama Farao ili akikupiga na kila jicho lione na litambue ukuu wake. Tusubiri
 
Teh teh teh.
Hizo mbege mnazokunywa bila kula zina madhara mabaya sana.
Yaani unataka ASKARI alieua majambazi walikuwa wanavunja na kupora mali za RAIA wawajibishwe?

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Dah we mpemba hujaacha tu mizinguo yako mwanang kahtan
 
I rate this post 2 out of 10

Atleast bc ungesema aachie madaraka ndipo D9 hatuandamani.


Bila ya manyonyo kufa siwezi kuelewa chochote kile.
 
Kuandika tu sentensi za kiswahili zinakushinda. Jifunze kwanza kuandika sentensi za kiswahili.

Sijui ccm inatoa wapi watu wajinga hivi .
 
Again And again you keep on repeating garbage.
Wewe hizi habari unachota JF kisha unataka wote tule.
Acha kupenda kudakia story kisha ulazimishe watu wote wazikubali.
Bora kukaa kimya.
Usinilishe maneno, vyanzo siyo JF.
Kama wewe una chanzo kimoja usifikiri kila mmoja ni hivyo.

Mauaji yalikuwa mengi sana hivyo kuna uthibitisho na shuhuda za aina nyingi
 
Upo sahihi ila sio rahisi kiasi hicho.
 
Hawezi kujaribu hata moja au ata nusu ya moja uliloliandika.

Ni mwendo wa drama, Tunaanza katiba, Tutafanya maridhiano, Tutatoa pole kwa Familia zilizo Adhirika,wananibagua, Kuweni Makini wanatuonea wivu kwa Rasilimali zetu,Sijahusika kwa chochote waliohusika watatajwa na Tume ya Chqnde tuwe na Imani nayo,Maoni yetu Ameyasikia Mambo Mazuri ya nakuja,Tuilinde Tanzania yetu Hatuna Nchi nyingine.
 
Hakika katika wakati huu kuleta ufundi wa vitisho ni upumbavu usiomithilika na kuvumilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ