Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
He was a walking music machineCaptain Komba ilikuwaw habari nyingine kabisa
He was a walking music machineCaptain Komba ilikuwaw habari nyingine kabisa
Hata wakitunga hauna mvuto ebu sikiliza wimbo wa marehemu Komba ule Samora ama wa Nyerere zilikuwa tungo hasa.Ukweli mtupu...
Wasani waliyobaki viazi vitupu
Ova
Diamond ataimba Nini?Hata wakitunga hauna mvuto ebu sikiliza wimbo wa marehemu Komba ule Samora ama wa Nyerere zilikuwa tungo hasa.
Vijana wetu sio wanamuziki, Ni wasanii wa muziki, na wengine Ni wasanii wa kizazi kipya.New-generation musicians are generally not capable of producing custom-made songs. Ni watunzi wa generic songs (mostly za mapenzi na mipasho)!
Tembelea YouTube Channel ya Don Nalimison uone jinsi jamaa alivyo mkali, naupenda Sana wimbo wake wa Malia ObamaKumbe na kwa Sokoine alitunga ?Sasa hivi vipaji hamna,wasanii full kuiga Nigeria na kwingine. YouTube imeharibu vipaji watu wanacopy na ku paste tu.
I am a soldier-DonTembelea YouTube Channel ya Don Nalimison uone jinsi jamaa alivyo mkali, naupenda Sana wimbo wake wa Malia Obama
Njoo PM nikuimbie wimbo wenyewe, nikusimulie wakati Nyerere anatangaza msiba wa Taifa ilikuwa ni saa ngapi, na Mimi nilikuwa wapi na dudu proof yangu.😄😄😄Bujibuji kwamba 1984ulimskia😀😀..haukua na akili hiyo mzee baba usituchoshe hapa lol😄😄! Miaka 6 huez kumbuka mambo Kama hayo ...
HahahahahhahNjoo PM nikuimbie wimbo wenyewe, nikusimulie wakati Nyerere anatangaza msiba wa Taifa ilikuwa ni saa ngapi, na Mimi nilikuwa wapi na dudu proof yangu.
Kila mtoto na akili Yake, wengine tuko extra smart ndio maana hata huku JF hatuna cha kufanya ila michezo ya kuigiza tu
Chips zina thamani kubwa. Wasanii wa siku hizi ni Kama ming'oko kule Mbeya wanaita numbuUkweli mtupu...
Wasani waliyobaki viazi vitupu
Ova