Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani
Tungeamka nao alfajiri ile ya Ijumaa
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani
Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.
Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine.
Ndani ya muda mfupi alitunga wimbo wa maombolezo, ukaruka Radio Tanzania 🇹🇿 Dar es Salaam. Alifanya hivyo pia mwaka 1986 alipofariki Hayati Samora Machel.
Ndani ya muda mfupi aliliamsha bonge la dude, achana na dude linaloamshwa na mshindi wa tatu pale Kawe. Alipofariki Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ndio akatoa na album nzima kabisaaaaaàa.
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani.
Tanzania 🇹🇿 tumempoteza mwanamuziki mahiri.
Buriani Captain John Komba.
Buriani Benjamin Mkapa
amenCaptain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.
Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine.
Ndani ya muda mfupi alitunga wimbo wa maombolezo, ukaruka Radio Tanzania [emoji1241] Dar es Salaam. Alifanya hivyo pia mwaka 1986 alipofariki Hayati Samora Machel.
Ndani ya muda mfupi aliliamsha bonge la dude, achana na dude linaloamshwa na mshindi wa tatu pale Kawe. Alipofariki Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ndio akatoa na album nzima kabisaaaaaàa.
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani.
Tanzania [emoji1241] tumempoteza mwanamuziki mahiri.
Buriani Captain John Komba.
Buriani Benjamin Mkapa
Nenda RTD PUGU ROADHivi collection ya nyimbo zake inapatikana wapi? Aliimba sana huyu Capt enzi za ujamaa, ukombozi wa kusini mwa Afrika. Na baadae kuimba nyimbo za CCM