Very very true...!!!Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.
Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache.
Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine.
Ndani ya muda mfupi alitunga wimbo wa maombolezo, ukaruka Radio Tanzania 🇹🇿 Dar es Salaam.
Alifanya hivyo pia mwaka 1986 alipofariki Hayati Samora Machel.
Ndani ya muda mfupi aliliamsha bonge la dude, achana na dude linaloamshwa na mshindi wa tatu pale Kawe.
Alipofariki Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ndio akatoa na album nzima kabisaaaaaàa.
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani.
Tanzania 🇹🇿 tumempoteza mwanamuziki mahiri.
Buriani Captain John Komba.
Buriani Benjamin Mkapa
Anaweza kuimbaDiamond ataimba Nini?
Yule hayuko sawa mkuu Achana naeTembelea YouTube Channel ya Don Nalimison uone jinsi jamaa alivyo mkali, naupenda Sana wimbo wake wa Malia Obama
Kifo cha mendeZuchu ataimba Nini?
Wananjunji kitoziDaaah aise tupo na wazee huku jf Safi Sana
Muziki wa siku hiz ni utopolo tupu
Kazi kusifia papuchi
Papuchi zenyewe wakipewa Dakika mbili hawez tena kuipiga
Tatizo diamond anaweza akakosea akajikuta aweshaweka tusi kwenye wimbi wa kuomboleza maana ndo tungo alizozoeaDiamond ataimba Nini?
Mwembamba sana mondi labda msechu atleastKwan mondi hawez kuziba pengo la cpt. Komba.
Ova
Acha na ile NAMBARI ONE EEEH NAMBARI ONE CCMCCM wenyewe wanajitahidi kuziba pengo la Komba kwa kuwaloga akili kizazi hiki cha bongo fleva kuwasifia.Wasanii wanaimba kila siku nyimbo za kusifia ila hamna hata iliyojitahidi kufika walau nusu tuu ya CCM mbele kwa mbele.
Mnawaonea bure tu hawa wanamziki wa sasa !!kamwe tusilinganishe vipaji na waigizaji...New-generation musicians are generally not capable of producing custom-made songs. Ni watunzi wa generic songs (mostly za mapenzi na mipasho)!
Yeye hakutungiwa wimbo lakini, siyo poa kabisa!Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.