Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Na nyimbo za marehemu komba zingeliimbwa na watu wa dini na imani zote. Wasanii wasasa ngoja wakitoa nyimbo hautaamini macho na msikio yako, video zitakuwa na mbwembwe kibao kama vile wako luncCaptain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.
Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache.
Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine.
Ndani ya muda mfupi alitunga wimbo wa maombolezo, ukaruka Radio Tanzania 🇹🇿 Dar es Salaam.
Alifanya hivyo pia mwaka 1986 alipofariki Hayati Samora Machel.
Ndani ya muda mfupi aliliamsha bonge la dude, achana na dude linaloamshwa na mshindi wa tatu pale Kawe.
Alipofariki Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ndio akatoa na album nzima kabisaaaaaàa.
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani.
Tanzania 🇹🇿 tumempoteza mwanamuziki mahiri.
Buriani Captain John Komba.
Buriani Benjamin Mkapa
Tembelea YouTube Channel ya Don Nalimison uone jinsi jamaa alivyo mkali, naupenda Sana wimbo wake wa Malia Obama
Inama kalia tia mate iteleze Kama nyoka pangoni,Diamond ataimba Nini?
Aibu mweeerInama kalia tia mate iteleze Kama nyoka pangoni,
My number one.Diamond ataimba Nini?
Wenye ngoma za Komba mnaweza kutupia hapa huwa nazitafuta youtube hakuna
Jamaa alikuwa ni NGULI zaidi ya Victor Teshahuyu mwamba alikua kiboko
nahisi alikua anapewa habari kabla maana nyerere kafariki yeye akaja na albam nzima duh
nakumbuka nilikua primary mda wa mchana tunaingia sehemu ya kula tv juu inaonyesha nyimbo za maombolezo kifo cha mwl dah
tumerudi darasani watu wote tunalia machozi 😢😢😢😢
International Relationship
umenifanya niitafute hiyo account. Kwakweli tuendelee tu kujifukiza
Usisahau ku subscribeTembelea YouTube Channel ya Don Nalimison uone jinsi jamaa alivyo mkali, naupenda Sana wimbo wake wa Malia Obama
[emoji106]
Ingawa alikuwa na akili za kijima sana like a caveman!He was a walking music machine
Tusimlaumu Sana he was just a standard seven leaver, hakuwa na exposureIngawa alikuwa na akili za kijima sana like a caveman!
MadogoliZuchu ataimba Nini?
Dr. Remmy OngalaKifo hakina huruma
Mbona wasanii hawaungani kutoa wimbo wa kumuenz Uncle Ben kma zile za kusifuCaptain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa.
Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine.
Ndani ya muda mfupi alitunga wimbo wa maombolezo, ukaruka Radio Tanzania [emoji1241] Dar es Salaam. Alifanya hivyo pia mwaka 1986 alipofariki Hayati Samora Machel.
Ndani ya muda mfupi aliliamsha bonge la dude, achana na dude linaloamshwa na mshindi wa tatu pale Kawe. Alipofariki Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ndio akatoa na album nzima kabisaaaaaàa.
Muda huu tunapomuombolezea mpendwa wetu Hayati BENJAMIN MKAPA Rais wa awamu ya tatu, tayari wimbo ungekuwa hewani.
Tanzania [emoji1241] tumempoteza mwanamuziki mahiri.
Buriani Captain John Komba.
Buriani Benjamin Mkapa