Unakuta mwanamke anamvimbia jamaa kuwa hana ubavu wala jeuri ya kumfanya ilihali amekula hela ya jamaa for a very long period of time...hapo ndipo matukio kama haya hutoke maana wanaume wote hatupendi dharau sema huwa tunapuuzia maisha yasonge ila tukiamua wanawake wataisha maana wamezidisha dharau!!abhasuguma dulemile ETUJA!
 
Duh,gesti bk8 si ndiyo zile unakuta taulo imekakamaa unaweza kuisimamisha ikasimama na hata rangi yake ya asili haijulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…