Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Kinacho nishangaza bado wanawake hawataki kujifunza kutokana na haya mauaji!!

Wahanga ni wanawake walio kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Ushauri;
1. Kama bado unataka kudanga usiingie kwenye mahusiano na mwanaume yeyote...usikubali hata wakuegesha utakufa!
 
Ungekuwa umwwahi kukaa rumande hta kwa siku moja ungebadilisha sana msimamo wako wa ku deal na violence.
Hakuna kitu inauma kama kunyimwa uhuru wako, jela hakufai!!!
Mwanamke akikuzingua tatuta mwingine usihangaike naye. Dogo hapo anaenda kuozea jela naatajutia sana huo uamuzi wa kuumwa.

Najaribu kuandika kwa utulivu....

Wewe umesema kitu ambacho unakitambua/unakielewa na umepembua na kuchambua kwa ufahamu ukatambua uhuru ni zaidi ya dhahabu na kuendekeza ubabe usio na tija hailipi.
Kifupi umejua maana ya uhuru na ukaruhusu akili yako ifanye kazi na itawale hisia.

Ninamfahamu mwanaume (huyu tumuite ana changamoto kwenye akili yake na anaipa kipaumbele hisia kuliko akili).
Huyu alishawekwa sana rumande kwa kukamatwa na maaskari kwa kuendesha akiwa amelewa njwiii, anashiriki kwenye fujo zisizo na kichwa wala miguu, rumande kwa ssna, violence kwake ilikuwa ndo sifa haogopi polisi wala kuwekwa selo wala kwenda jela.

Hadi mara ya mwisho napata taarifa zake mke alimkimbia na watoto, sijui saa hii anajiviolence au anaiviolence pombe....

Malezi wanayopitia watoto yana asilimia kubwa sana ya huyu mtoto akijakuwa mkubwa atakuwa na hulka gani.
 
Hiyo ya kumkuna jamaa akajaa naielewa, kuna watu wanakutana na nyuchi za KE/ME zinawafanya hawaelewi chochote zaidi ya kukojoa kwenye hizo nyuchi. Sijui ndo mambo ya solimeti...🤷‍♀️🤷‍♀️
Wanapagawa
 
Mimi nawahakikishia mara nyingi ukiskia mwanamke ame cheat ni either mwanaume wake amemcheat sana na analipiza kisasi au mwanaume hana muda nae. Bishaneni na ukweli
Hakuna ukweli wowote hapa zaidi ya upumbavu tu wa kutaka kuhalalisha umalaya wenu wanawake kwa kuhamishia lawama kwa wanaume.

Kwamba unataka kutuaminisha hakuna wanawake wanaoamua kuchepuka kwa utashi wao wenyewe pasipo kuwa influenced na mwanaume?

Kwamba mwanamke alitomnbwa nje ya ndoa, basi kosa ni la mwanaume?

Hivi ni kwanini huwa mnapenda kujivika umalaika nyie??

Yaani mwanaume akichepuka ni tamaa zake mwenyewe na awe responsible kwa usaliti wake, ila mwanamke akichepuka basi kosa ni la mwanaume sio??

Wewe mwanamke hauna akili kabisa na wote wanaokuunga mkono kwenye hii comment yako.
 
Sasa mnavyoendaga ku cheat huko hadi mnazaa na mnategemea mwanamke awaelewe na asiulize huwa inakuwaje?

Worse enough ukute huyo ngosha ndo alikua mchepukaji mkuu tena wa hivyo huwa wana wivu balaa kumbe wao huko nje ndo wamezidi.

Mimi nawahakikishia mara nyingi ukiskia mwanamke ame cheat ni either mwanaume wake amemcheat sana na analipiza kisasi au mwanaume hana muda nae. Bishaneni na ukweli
Mwanamke na mwanaume asie chepuka haweza kuwa mtamu ata siku moya
 
Back
Top Bottom