Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Kuna mtu anatimiza mwezi kwenye mapenzi yenu toka apewe kimahisara na mmoja wenu
 
Kuridhika kwako wewe kwenye penzi lako, unadhani na wengine nao wanaridhika hivyo hivyo? Kama vipi wape basi mpenzi wako nao waridhike..!
 
Member wote waliosema mtaachana andika majina yao alafu uyapeleke kwa mwamposa
 
Kuwa uyaone, naona ndo unachipukia kama vile demu aliyetolewa bikra. Better shut-up your mouth and learn, yaonekana wewe bado mchanga sana kwenye hayo mambo
 
Kuwa uyaone, naona ndo unachipukia kama vile demu aliyetolewa bikra. Better shut-up your mouth and learn, yaonekana wewe bado mchanga sana kwenye hayo mambo
Kama kuna kitu nimejifunza nikutozungumza neema zako, mana kwa povu mnalotoa naamini wengine kama mnauchawi na ingekua physically mngeturonga, ni aibu sana kwa watu kana nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…