Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

Hivi kila ndoa inapovunjika mkosaji huwa ni mwanamke ama?

Mana comments za watu zimenishangaza.
Most of the time,ukiachana na hawa kukengeuka kwa adam,na deliala kumkataa au kumgeuka samson,,,,,,,mpango mzima ulisukwa miaka ya karibuni na mashirika ya kijasusi kama NSA[AMERIKA], na M 16 [UK],,,,mpango wenyewe ulikuwa chini ya ILLUMINATI[MPINGA KRISTO]...na ukapangwa mpango wa haki sawa kati ya mume na mke na mkutano ulifanyika BEIJING[sisi tanzania tuliwakilishwa na GETRUDE MONGELA]so balaa lilianzia hapo,,,,,,so wanawake wakawa makaidi na hawataki kukaa chini ya wanaume],,,,,,,na ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika kwa sasa,,,,,,unaambiwa wilaya ya ilala pekee mwaka 2023,ndoa zilivizovunjwa ni 600,,,acha hapo,,,wazungu hawakuishia hapo,,walipoona wamefanikiwa,,,,,wakaanzisha issue ya waname kulawitiana na wanawake kusagana!!![kwa sasa hali ni mbaya mno kuko mitaani],,,,,,unaambiwa huko kwa wazungu shoga ana haki kuliko raia mwingine yoyote yule,,,naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!!! baada ya kuona wamefanikiwa,,,akaja huyu mpuuzi HELE MUSK[tajiri wa kimarekani]akazindua ROBOTI LA KIKE na la KIUME..........na tayari yameshaanza kuuzwa nasikia ni dola elf 6[sina uhakika],,,,so unanunua roboti unalicharge then unaingiliana nalo,,,juzi kati BEYONCE kafunga ndoa na ROBOTI [nadhani ulisikia] so sio kwamba tunalaumu wanawake no,ila shetani ili kuupiga ubinadamu anaanza na mwanamke kwani rahisi kushawishika,,,,,kwenye biblia MUNGU anasema,,,kati ya wanaume elf 1 nimeona binadam 1ila kati ya wanawake elf 1 sijaona binadam ata mmoja!!,,,,na kwenye q'ran MUNGU anasema pepo ya mwanamke ipo kwa mumewe,,,,na ujue mwanamke ndo chanzo cha kifo cha binadam
 
Ila kitu kimoja, huyo mama anatoka katika familia tajiri sana. Wanamiliki fashion business kwa miaka mingi. Hata huyo mama Sasa hivi ana - run fashion business yake huko Barcelona. Hivyo pesa hakuzianzia kwa Pep.
 
Kuachana na mtu wakati ana shilingi milioni mbili na kuachana na mwanaume wakati ana bilioni mbili wapi katika mgao Kuna faida?
 
Kuachana na mtu wakati ana shilingi milioni mbili na kuachana na mwanaume wakati ana bilioni mbili wapi katika mgao Kuna faida?
Kwani Guardiola ameanza kuwa tajiri leo? Hiyo kazi ameianza leo? Ana miaka mingapi hapo City?

Halafu kwanini huzingatii pia miaka mitano ambayo hawakuwa wakiishi pamoja? Mtu mwenye nia ya kuachana watengane miaka mitano?

Hawa walikuwa wanapendana, hata baada ya kutengana kwa miaka mitano walijaribu kuweka mambo sawa imeshindikana.

Kwa mke wa Guardiola napinga suala la mali.
 
Ila kitu kimoja, huyo mama anatoka katika familia tajiri sana. Wanamiliki fashion business kwa miaka mingi. Hata huyo mama Sasa hivi ana - run fashion business yake huko Barcelona. Hivyo pesa hakuzianzia kwa Pep.
Sawa Sasa aliolewa na Guardiola Ili iwaje? Kama huko tayari kutawaliwa usiolewe.
 
Ujinga wenu mnamsingizia Shetani?

By the way Utafiti unaonesha mwaka huu wa 2025 Wanawake wengi watatifuana na maroboto kuliko wanaume
 
Hawa walikubaliana kuachana desemba mwaka jana,baada ya kuishi kwa miaka 5 kila mmoja akiwa nchi tofauti,na kuachana kwao ni kwa amani,na mpaka leo wanaongea vizuri hawana ugomvi wowote,ila kilichowafanya watengane hawajakisema
Hakunaga kuachana kwa amani, kama amani ingekuwepo wasingeachana wasikudanganye na maneno pamoja na tabasamu bandia kwenye midia pamoja na sababu zisizo na mashiko
 
Nimekuelewa Kama walitengana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…