Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

C.ronaldo anaishi Kwa utulivu na Georgina kwaSababu Kuna makaratasi flani hawajasaini Bado๐Ÿ˜”
 


Kama naelewa hivi, bado wanaume wengi hatuwajui vema kabisa wanawake.
 
Kama naelewa hivi, mwanamke bado wanaume wengi hatuwajui vema kabisa

Ili uweze kuwaelewa vizuri kwenye uhusiano wa mke/mume ,boyfriend/girlfriend ni sawa na mtu(Mke) kufanya kazi kwenye taasisi/kampuni(mme).

Kwahiyo muajiriwa yupo kuangalia je kuna maslahi(mshahara mzuri ,mazingira mazuri etc) ,kama kuna sehemu ukipata kazi yenye mshahara mzuri unasepa...Kwahiyo m/ke kukuacha mwanamme ni dakika 0 tu endapo akipata chaka la maana.
 
Miaka 30 wame enjoy vya kutosha.
We ni noumer; umevaa na jersey ya Man City kabisa kabisa yaani.

Swali la kizushi; hivi kwa umri huo, huyo mwanamke anaenda wapi? Kama walikua wakiishi wote England (hope na Ujerumani walikua pamoja ) means mwanamke hakua na kazi, now at that age si ni kama kwenda kulipatia taifa hasara tu ya kuanza kulea wazee?
 
Au Guardiola huwa yuko busy sana hana muda kwa familia? Au pengine kutokana na kazi yake anakuwa ni mtu mwenye msongo wa mawazo kiasi anashindwa kuwa mume/baba bora?

Miaka 30 inasikitisha sana kutengana.
Akaunti imenona hapo ni pasu kwa pasu,ingekuwa ni mmachame anakuua ila kwa wazungu divorce ndiosolution kukomba jasho la mwanaume tajiri ndani ya siku chache
 
Hao wameishajipanga vizuri tu nashangaa nyie mnawawaza ๐Ÿ˜… halafu wazungu sio kama wabongo wanaachana huku wanaongea vizuri tu.
 
Hao wameishajipanga vizuri tu nashangaa nyie mnawawaza ๐Ÿ˜… halafu wazungu sio kama wabongo wanaachana huku wanaongea vizuri tu.
Mapenzi ni yale yale tu my dear, hakuna cha mzungu wala mwafica, inategemea mmeachanaje, kama ni kwa ugomvi then mtachukiana tu; BTW hata bongo kuna watu waliwahi kuachana na still wanapigaga story kawaida tu. Majani/P funk na Kajala vipi? Hayati mzee mengi na hayati mkewe je? Si kuna habari kwamba wakati mzee anaumwa, aliyekua mkewe na mama wa watoto wake alikwenda kumchukua na kuanza kumuuguza mwenyewe though walikua wameachana? So hakuna tofauti kati ya blacks na white, tunatofautiana sheria tu but moyoni tupo sawa
 
Hiyo kitu mkuu umeongea ukwel mtupu. Kioja sasa nkwamb hata kwenye nyumba za ibada wanafundsha rejea za beijing na sio maelekezo ya vitabu vitakatifu.Yaan hii vita inatisha saana ila ndo ivo sasa waoaanaji wanacheza beat la lucifer,coz kama ulvyosema its well planned confict.
 
C.ronaldo anaishi Kwa utulivu na Georgina kwaSababu Kuna makaratasi flani hawajasaini Bado๐Ÿ˜”
Ha haaa kwa kweli anaenjoy maana demu kila siku ni kama yuko kwenye kampeni....akipata vile vipande vya makaratasi ndio unaona rangi yake halisi
 
Kama mama kanaenda kutafuta dogo dogo wa kumsugua sugu ๐Ÿ˜€
 
Mkulima anaweza kuvumilia misukosuko yote hadi wakati wa mavuno utakapotimia. Hakuna mkulima anayevuna mazao machanga. Lazima kwanza yakomae.

Mgao umekuwa mkubwa kiasi kwanba mwanamke amepiga hesabu ameona inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ