Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Sasa hiyo Ck one ndo angalau 150000 perfume izo ni zinakaa mda mrefu kwa nguo lakin ni kwanzia 250000 - 500000
 
Acha ubahili tafuta creed aventus inauzwa laki 7 na 20 ni og unaweza scan bar code yake price yake ni hyo hyo.
 
Aquar iko poa saana ni "unisex"
 
Berries weekend, sijui hata ni ya kike ya kiume ila natumia. I like it.
 
Duh huyu kijana ni wa kukamata na kuchapa BAKORA nyingi sana atuambie anapata wapi ujasiri wa kuulizia bei ya Perfume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…