Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!
haahaaaaaa umenifanya nicheke sana asubuhi hiii
 
Kuna moja umeiruka.......hiyo nikipishana na wewe.........lazima nikufuate na lazima u u u u u u...............
nitajie please....hio list ya chache nilizotumia,sasa hivi natumia issey miyake,212,tommy hilfiger.
 
Ipo kwenye group la Chanel...........oooh my my........

allure homme..........

yes! nishaitumia once....ni nzuri allure homme sport

images
 
Unapata wapi muda Wa kufikiria 'ufanye nn ili wadada wavutike na ww'??tafuta Pesa,Ankaraaa,Chapaa,mkwanja,Mshiko,Mawe,Hela ukizipata wao ndo wataumiza kichwa wakupataje unajichagulia tu upige mkuyuyu yupi!
 
nitajie please....hio list ya chache nilizotumia,sasa hivi natumia issey miyake,212,tommy hilfiger.

Hiyo issey miyake kuna version ya wanigeria. Ipo too diluted ukipaka unanukia saa hiyo then inapotea.

Ukipata original inakuwa poa sana.
 
Ukishapata hizo wanazopenda utafute na pesa utapendwa ata bila kunukia mafanikio yako ndio yatakufanya upendwe na wanawake kama unataka watoto Wa shule apo sawa
 
Kuna sumu moja inaitwa PRADA, ya kiume babu ila jiandae kuanzia laki tatu unusu, pia Yves Saint Laurent nayo ni sumu hiyo Nuit hiyo nayo ukiipata ni kuanzaia laki tatu flani ila ukipata kubwa na kadogo ka kukaa kwenye gari inakwenda kwenye mia tatu sitini flani.

Ila mzee sumu za kuua hao wadudu zipo kibao in fact ukishaona sumu ipo over laki tano ujue inawamaliza although inategemeana na Kijasho chako mzee.
 
Back
Top Bottom