fifa gumu sana kama umezoea pes. halafu master ligi yao nzuri but kukosekana uefa ndio kunainyima utamu. coz unakuta mtu unagombea vikombe vya ligi tu. na sio kuqualify uefa na europaMi nacheza Pes 2017 kwenye Intel HD 3000 inarun very smooth aseee hadi raha, fifa kwangu inacheza ya 14 but imekuwa patched to 18.
Tatizo la fifa kuanzia gameplay building up mpaka kuscore ni ngumu balaa but pes ni simple sana, ila pes 2017 naona long shot kufunga ni mtihani kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
simple sana. unanajua kugenerate cpk file za dlcWakuu anaejua namna ya kuongeza viwanja katika pes 2017 msaada please,
Maana nimedownload pes 2017 kutoka ocean of games nimeinstall vizuri lkini inshu katika viwanja vipo 10 na kuna jamaa aliniambia huwa vinakuwa 41 so kwa mwenye ujuzi wa kuongeza hivo viwanja naomba msaad mkuu maana nimajaribu njia z youtube vimegoma kuongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini itaweza kucheza ila labda kwa low settingnvidia
ongeza game speed itakuwa freshPES ipo smooth saana, mchezaji anakimbia kwa uhuru, wachezaji wapo simple kugeuka, chenga n.k ila FIFA ni tofauti, ni ngumu sana aiseee, hupigi chenga wala kugeuza mchezaji utakavyo.
Uefa ipo kwenye fifa sema inaitwa champions cupfifa gumu sana kama umezoea pes. halafu master ligi yao nzuri but kukosekana uefa ndio kunainyima utamu. coz unakuta mtu unagombea vikombe vya ligi tu. na sio kuqualify uefa na europa
Sasa itaiwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Hiii ni ya sasa ya zamani walikuwa wanaita uefa champions cupSasa itaiwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Mkuu me Nina PC HP nachezaga pes 17 but kuna mda inafika inakuaa slow so nashindwa kuelewa sijui wakati nacheza nakua nime block zile vent za kupumulia kitu ambacho kinapelekea over heat then slow au shida mini????Mkuu serious umependa game kwenye console kuliko kwenye pc... Dah bado hujaonja utamu wa pc mkuu.
yeah sasa tutaingia kwenye uhondo wenyewe
fungaga app zingine zote wakat unarun gameMkuu me Nina PC HP nachezaga pes 17 but kuna mda inafika inakuaa slow so nashindwa kuelewa sijui wakati nacheza nakua nime block zile vent za kupumulia kitu ambacho kinapelekea over heat then slow au shida mini????
Kwani haijatoka?Nasubiri fifa 18 yenyewe
nilimaanisha fifa 19Kwani haijatoka?
Hatari kaka hii game naikibali sana, sema ili uweze lazima uwe na GPU ya maana.yeah sasa tutaingia kwenye uhondo wenyewe
Kwenye 17/18 series Pes ni demanding kuliko FiFaHatari kaka hii game naikibali sana, sema ili uweze lazima uwe na GPU ya maana.
Hizi za kuunga unga utaishia kucheza PES tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa kabisa mkuuMbona simple mkuu, au matangazo ndio yanakuzingua?.
Patch ya mwaka gani unayo mkuuyani simple sana ni stape mbili tu. kama uko dar njoo nikupe patch
yani simple sana ni stape mbili tu. kama uko dar njoo nikupe patch