Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #541
Achana na hao wa app, kila mtu na riziki zake, unaufahamu nilijaribu project ya kuchat na watu mbalimbali, wenye matatizo mbalimbali mi nawafanyia counselling, lakini wanani lipa? Asee hii dunia Kuna hela za Bure kama masihara tuliondoka hivo, huwezi amini hukosi raia watatu wanne na wao wanakuletea wenzao wakina dada vinara japo wao stori zao mapenzi tuHmm hii ya english course watu wana app zao tayari! hizo za kuingia live mitandoni hata sitaweza! napenzi nikae na pc yangu iniingizie pesa ila bado sijajua how!
Mimi ndio nataka hizo sasa, nipee mbinu ya kuwapata!Achana na hao wa app, kila mtu na riziki zake, unaufahamu nilijaribu project ya kuchat na watu mbalimbali, wenye matatizo mbalimbali mi nawafanyia counselling, lakini wanani lipa? Asee hii dunia Kuna hela za Bure kama masihara tuliondoka hivo, huwezi amini hukosi raia watatu wanne na wao wanakuletea wenzao wakina dada vinara japo wao stori zao mapenzi tu
Wafate kwenye comment kwenye post kubwa za mastar, diamond, zuchu, wambea, wakpost wewe unawahi kwenye comment, unatoa tangazo na namba zako au page Yako, unatulia zako wataanza kuja mdogomdogo, TikTok mara nyingi unamface mtu Moja Kwa Moja kwenye post yake, wadada, unakuta hana comment yeyote, we unamfata, hellow mrembo umependeza, tafadhali nione nikufundishe kingereza Kwa bei rahisi sana,ndani ya miez mitatu tu. Ata kujibi hapana dear, UTAJIBI poa baada ya wiki mbili unashangaa anakuchekMimi ndio nataka hizo sasa, nipee mbinu ya kuwapata!
Rusha vipindi MTANDAONI, either unaelezea kuhusu namna ya kupiga mswaki, kulala vizuri nk, unawatafutia target ya kuwapiga hela, kupitia bidhaa au huduma, watu wana hela za kuchezea hazina kazi amini hiloMimi ndio nataka hizo sasa, nipee mbinu ya kuwapata!
Kumbe hii ndio mbinu? kwakweli hakuna utafutaji mwepesi!Wafate kwenye comment kwenye post kubwa za mastar, diamond, zuchu, wambea, wakpost wewe unawahi kwenye comment, unatoa tangazo na namba zako au page Yako, unatulia zako wataanza kuja mdogomdogo, TikTok mara nyingi unamface mtu Moja Kwa Moja kwenye post yake, wadada, unakuta hana comment yeyote, we unamfata, hellow mrembo umependeza, tafadhali nione nikufundishe kingereza Kwa bei rahisi sana,ndani ya miez mitatu tu. Ata kujibi hapana dear, UTAJIBI poa baada ya wiki mbili unashangaa anakuchek
Hmm kabisa, inahitaji moyo mkuu pia!Rusha vipindi MTANDAONI, either unaelezea kuhusu namna ya kupiga mswaki, kulala vizuri nk, unawatafutia target ya kuwapiga hela, kupitia bidhaa au huduma, watu wana hela za kuchezea hazina kazi amini hilo
Ndio. mana ndo unaanza, na unakuta huna followers, mfano Kuna dada kupitia mitandao tu alimiuzia mafuta lotion package efu sabini, ye akiwa middle menKumbe hii ndio mbinu? kwakweli hakuna utafutaji mwepesi!
Ukija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwaHmm kabisa, inahitaji moyo mkuu pia!
Shemeji bhanaNdio, kuzurura ndio sijawahi kuweza, kwahiyo sio mimi, 😅 halafu jibu ujumbe wangu!
Huu ni mfano wa kule napo taka kufikaUkija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
Asante sana! umefanya vizuri kusimama mwenyewe, hiyo studio una trade forex? hizo attachments naona za fx tradersUkija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
Nini jamani, mchumba mwenyewe kaingia mitini.. 😅Shemeji bhana
Hivi norushad yupo huko bado zenjiUkija Zanzibar siku Moja takualika uje, unitembelee, tubadilishane mawazo, nilianza Kwa hofu sana baada ya kukata tamaa kazi nilio kia nafanya mara tunacheleweshewa mshahara mara hivi nikaona nijiongeze, safari ikaanzia hapo, nampango wa kuwa na studio kubwa zaidi ili nifanye mambo yangu Kwa ukubwa
Simpati huyoo kakaHivi norushad yupo huko bado zenji
Ova
No sio Mimi hizo ni clip za MTANDAONI, nimekupa idea tu nacho taka kifanya hapo lengo sio forex ila mfano wa studio navo taka iwe.Asante sana! umefanya vizuri kusimama mwenyewe, hiyo studio una trade forex? hizo attachments naona za fx traders
Muhindi mbuzi!Nasubir ofsn kwangu Nike nimbutue kwa bure🤣
Oooh kila la kheri mkuu!No sio Mimi hizo ni clip za MTANDAONI, nimekupa idea tu nacho taka kifanya hapo lengo sio forex ila mfano wa studio navo taka iwe.
Ni sahihi hauko nje ya muda na sasa hivi watu ndio wanachofanya inawalipa, nawe fanya pia!Mi nataka ni deal na AI, ambapo ta launch kampuni kivuli itayo kia ikijihisisha na utengenezaji wa MZIKI, shot movies, cartoon, nk kupitia AI then baadae takua na app yangu kama boomplay, Spotify nk ile niuze kazi zangu tu