Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Hongera sana. Hii lifestyle yako ni kama yangu. Mimi hadi namaliza chuo nilikuwa naitwa mpole. Kuna mama yangu mdogo hadi alikuwa ananitolea maneno ya kashfa kuwa nimezubaa. Nilipoanza biashara yangu binafsi ndo polepole jina la mpole likaanza kutoweka. Kwenye awamu ya pili ya JK kuna tenda jamaa mmoja aliyekuwa anasifiwa mjanja hatari akawa kamaliza kuongea na wahusika kilichokuwa kimebaki ni yeye kukamilisha taratibu fulani na kusaini tenda. Siku moja kabla ya tukio nikajitokeza kimyakimya na kuibeba hiyo tenda. Kilichofuatia ni mayowe maana ilikiwa ni hela nyingi. Kwa mimi ndo ilikuwa hela yangu nyingi ya kwanza. Kutokea hapo hadi leo wanaoniita mpole ni wale hawanijui kabisa.
Kiukweli hiyo ni bonge moja ya mbinu kuwin mambo yako!mimi kuna sehemu kadhaa huwa napata sana favor kwa kudhaniwa ni mtu mpole na mstaarabu ila wanaonijua kiundani wanacheka sana🤣🤣🤣🤣Na kuna mtu huwa ananiambia ungependeza sana kuwa mke wa mchungaji rohoni nasema mmh sadaka zingepata tabu sana...
 
Sio

Sio walimu tu; kuna mwamba alimsokota mdada wa watu;tena inspector na cheo chake akavuta 11mil akapewa mwamba msukuma moja hivi. Akalala mbele na mpunga. Mama kaambiwa ngoja nikafanyebiashara ya Ng'ombe. Mama alihadaiwa na mapenzi moto moto; mixer ndoa na nini na nini. Cha ajabu mama aliachana na mumewe wa kwanza nae alikuwa poti. Ogopa mama aliamua na Jamaa mpya waishi wote na mhabeshi akahamia kwenye kotaz zao zile bila hiyana. Lakini muhabeshi hakuogopa gwanda Wala cheo. Kapiga hela alafu mama ana cheo central moja kubwa hapo kanda ya ziwa. Yupo anapambana na marejesho benki mpaka leo hii.

Aisee watu wana roho ngumu. Sembuse useme wewe yatima.

Maneenah. Wahabesh. Hatari na nusu
😹😹😹 Wale hawaogopi wanapiga popote..!!

Halafu hao mapoti wanalizwa sana na wahabeshi sio pouwa..!!

Wengine manesi nao wanapigwa sana..!!
 
Kiukweli hiyo ni bonge moja ya mbinu kuwin mambo yako!mimi kuna sehemu kadhaa huwa napata sana favor kwa kudhaniwa ni mtu mpole na mstaarabu ila wanaonijua kiundani wanacheka sana🤣🤣🤣🤣Na kuna mtu huwa ananiambia ungependeza sana kuwa mke wa mchungaji rohoni nasema mmh sadaka zingepata tabu sana...
Na kama una mwonekano wa kuvutia ndo balaa zaidi. Unawavuruga.
 
😁😁😁
Mkuu, hao wenyeviti nawajua vizuri. Hawawezi kunichota akili. Labda kama wanachanganya na mavitu yao.
Anayekuuzia nyumba sio mkiti ni hao watoto wa mjini..!! Huyo mkiti yupo kugonga muhuri tu!!

Jambo likiisha siku ya kugundua uliingizwa cha kike ndo utajua mkiti anacheza km winga atakavyokupiga chenga..!! 😹😹
 
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani hapa ulivyoandika sura ya yule mwenyekiti wangu imenijia wale jamaa wale!yaani siku ya evaluation kuna mihuri pale ofisini mwenyekiti kapiga "dada J mambo ya kutuachia mapori huji kufyeka hatutaki ,fanya uhamie jirani bwana"dah afisa wa watu kajua kweli😂
 
Back
Top Bottom