Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Mi mtu akiniambia I love you namuogopa 😹😹😹Pale nilikuwa sijakutambua bado.
Ingekuwa tuna ongea PM, kuongopeana 'I luv yuu' ungenikamata vizuri tu hili parody...😜😜😆😆
Ile unaiomba kwa mtu wako bila kujua, yeye anakuchora tu.
Ningecheka sana ningeona mtongozo wako aiseee..!!