Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,664
- Thread starter
- #241
Matokeo mnaanza kusingiziwa nyinyi😂😂😂Haya mambo ni hatari sana. Dhuluma town ni kitu cha kawaida. Binafsi kwa mjini nimekuwa nikikwepa mno hela za madili... 40 ikifika huwa ni mbaya inavuruga kabisa mwelekeo mzima wa maisha yaliyobakia.