Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Kiukweli hiyo ni bonge moja ya mbinu kuwin mambo yako!mimi kuna sehemu kadhaa huwa napata sana favor kwa kudhaniwa ni mtu mpole na mstaarabu ila wanaonijua kiundani wanacheka sana🤣🤣🤣🤣Na kuna mtu huwa ananiambia ungependeza sana kuwa mke wa mchungaji rohoni nasema mmh sadaka zingepata tabu sana...
 
😹😹😹 Wale hawaogopi wanapiga popote..!!

Halafu hao mapoti wanalizwa sana na wahabeshi sio pouwa..!!

Wengine manesi nao wanapigwa sana..!!
 
Na kama una mwonekano wa kuvutia ndo balaa zaidi. Unawavuruga.
 
😁😁😁
Mkuu, hao wenyeviti nawajua vizuri. Hawawezi kunichota akili. Labda kama wanachanganya na mavitu yao.
Anayekuuzia nyumba sio mkiti ni hao watoto wa mjini..!! Huyo mkiti yupo kugonga muhuri tu!!

Jambo likiisha siku ya kugundua uliingizwa cha kike ndo utajua mkiti anacheza km winga atakavyokupiga chenga..!! 😹😹
 
Anayekuuzia nyumba sio mkiti ni hao watoto wa mjini..!! Huyo mkiti yupo kugonga muhuri tu!!

Jambo likiisha siku ya kugundua uliingizwa cha kike ndo utajua mkiti anacheza km winga atakavyokupiga chenga..!! 😹😹
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani hapa ulivyoandika sura ya yule mwenyekiti wangu imenijia wale jamaa wale!yaani siku ya evaluation kuna mihuri pale ofisini mwenyekiti kapiga "dada J mambo ya kutuachia mapori huji kufyeka hatutaki ,fanya uhamie jirani bwana"dah afisa wa watu kajua kweli😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…