Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hizi deal za pesa tunaziogopa bure wakati hii dunia tumeletwa kuenjoy na kusepa..!! Tutapiga kelele kila siku watu wanatuibia wanasukuma mipila ya mwaka wa mbele wakati na sisi tunao uwezo wa kuiba..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unapenda sana mambo ya kihabesh..Siku ukifuata mzigo China tutafute wateja wa kuletewa mzigo ,akichagua pochi za elfu 15 tunamletea mzigo wa pochi za buku jero
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unapenda sana mambo ya kihabesh..Siku ukifuata mzigo China tutafute wateja wa kuletewa mzigo ,akichagua pochi za elfu 15 tunamletea mzigo wa pochi za buku jero
Hizo ndio deal wala usiogope mtu wangu
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hizi deal za pesa tunaziogopa bure wakati hii dunia tumeletwa kuenjoy na kusepa..!! Tutapiga kelele kila siku watu wanatuibia wanasukuma mipila ya mwaka wa mbele wakati na sisi tunao uwezo wa kuiba..!!
We kamanda unafaa kwenye kazi
 
Watu washenzi sana nilikuwa naangalia story ya Hans Pope sasa hivi kwa Milard Ayo yaani kafa 2021 kuna nyau zikakopa benki bn.7 kwa jina lake na kuweka mali zake kama bond mwaka 2024 na sasa hivi benki ndio imeibuka kukamata magari yake hata wasimamizi wa mirathi hawana habari.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unapenda sana mambo ya kihabesh..Siku ukifuata mzigo China tutafute wateja wa kuletewa mzigo ,akichagua pochi za elfu 15 tunamletea mzigo wa pochi za buku jero
Sasa hamuoni kama mtaharibu biashara na kupoteza wateja wenu?
 
Kwenye dili jifanye mpole, ww kuwa na timing...wapiga dili wote wa pesa kubwa duniani ukikutana nao kabla hamjaongea sura zao ni za kipole na zina Kama ushamba Fulani hivi, anakusikiliza Kwanza weee ukiongea, hajibu moja Kwa moja, mnaachana Kwanza ww utajua ume win then baadae from nowhere analeta akili za ajabu ambazo hukutarajia na Kwa kuwa wewe hukutarajia basi lazima ujichanganye mwishon...Na ndio maana utakuta matajiri wakubwa sio waongeaji Sana au wanaongea taratibu Sana, very calculative.
 
story kali. Asante kwa darasa Sis Joh umeshakuwa mutoto wa mujini. Umecheza kimafya sana.

Matapeli wako very smart. Wanaijua psychology yenyewe ukiacha ile ya makaratasi ๐Ÿ˜.
 
Mkuu niliwahi kukuona kinondoni ni mwembamba hivi na dreads bisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ