Kila mtu anataka kumgeuza mwenzie fursaπΉIla Dar jamaniii, afu sijui wanakuonajee, utashangaa Ghafla mtu anakupapatia, ukiangalia wee unawaza utoboe kupitia wao, kumbe wao ndo wanatoboa kupitia wewee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
πΉπΉπΉWe kamanda unafaa kwenye kazi
πΉπΉπΉ Kuna trick naitumia kwa wateja hiyo afu hawashtuki..!!πππUnapenda sana mambo ya kihabesh..Siku ukifuata mzigo China tutafute wateja wa kuletewa mzigo ,akichagua pochi za elfu 15 tunamletea mzigo wa pochi za buku jero
Wewe tajiri G em niokoteshe basi πΉWewe tu, ingawa mimi si tajiri ila kapuku
Kibarua gani tena G πΉπΉNimefurahi sana kukutana tena na boss wangu tuliyepotezana tangu mwaka 1999! Safari hii usininyime kibarua.
Unataka hadi watoto wajue? Ni code - Natural ResourcesKibarua gani tena G πΉπΉ
We Bella wewe utaingia mbinguni kweli wewe?unajua nina ma blender mawili humu ndani bado mapya mapya yamekufa kizembe tu,yale wanasema heavy duty au ndio watu wako wameniuzia niniππ?πΉπΉπΉ Kuna trick naitumia kwa wateja hiyo afu hawashtuki..!!
Hiyo ya pochi sio nzuri, kuna ile ya kuwaagizia blender mbovu inafanya kazi mwezi tu inazima..!! Au vifaa vya simu
πΉπΉπΉ Hizo hizo Heavy duty tunakutestia inasaga mpk chupa ila sasa nenda kasage wewe uone mambo inavyoendaβ¦!!We Bella wewe utaingia mbinguni kweli wewe?unajua nina ma blender mawili humu ndani bado mapya mapya yamekufa kizembe tu,yale wanasema heavy duty au ndio watu wako wameniuzia niniππ?
πΉπΉπΉ Mjini hutumii nguvu kuishi akili tu mtu wangu..!!PAMBAFU!utanilipa hela yanguπππ
ππPesa zichukuliwe tu, haiwezekani ulale njaa wakati pesa zina printiwa tu.
Mji Una codes zake ukizijulia basi unateleza..!!Nimeamini mjini njoo na begi akili utazikuta hukuhuku!
Mji Una codes zake ukizijulia basi unateleza..!!
Huku akili ya darasani haina kazi πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ KaribuNifundishe na mm niepukani na ujobless π
Kwa kweli.Kiasi chake ,mambo yakigoma kwangu ila kwa wengine yanafanya kazi mlongo