Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Sema uwe makini na huyo bena,anaweza kupita na wewe. Maana mmefanyiana umafia
Kilichotokea ambacho Joh hajaelewa ni hivi yaan hapo ndipo alipokosea kwenye issue za mafia zilivyo hapo amesetiwa ukisoma scenario ya kuongezwa muhaya kawekwa na yeye dukani kisha muhaya akamsagia Bena makusudi tu yeye akaanza kumuamini muhaya bila kuelewa kwamba muhaya nae kapagwa na Bena aje kumpanga yeye ili amsaliti Bena, umeelewa jambo hapo sasa ili Bena apate point ya kummaliza na kupita na kibunda chote lazima acheze hivyo ndugu yetu anaona amewin kumbe bado yupo kwenye target oya michezo michafu ni mibaya mambo ya kukatana vichwa sio mazuri ila tulizeni vichwa wazee msifanye maamuzi kwa kukurupuka usipotuliza kichwa watu watakikata na kubakia nacho mpaka uzimwe mwili bila kichwa ndio wakitoe kichwa chako muwe makini ukifanya umafia angalia unamfanyia nani umafia yaan unaemfanyia umafia yeye anakuchezesha ndani ya circle yake mwanzo mpaka mwisho wewe unajaa tu yaan upo ndani ya circle yake still unajiona mjanja muwe makini wazee
 
Umenishangaza sana. Kichwa cha habari na ulichoandika haviendani aiseee.
Nilikuwa nataka kushangaa pesa zinakujaje kirahisi rahisi hivi.
Ungesema hapa jijini akili mukichwa,utapeli nje nje.
Anyway, hata usifurahi, kasome mithali 11:1. Mizani ya hadaa ni chukizo kwa Bwana.
Mithali 13:11. Mali iliyopatikana kwa haraka itapungua, bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa.
Hizo pesa za kitapeli tapeli huwa hazimfikishi mtu popote zaidi ya anasa za muda mfupi.
 
Ni vizuri angewaomba benki kusitisha mkopo kabla hela haijatoka,baada ya kubaini mambo yasiyo eleweka.
 
Nashukuru sana ndugu yangu katika imani!kifupi nimefika nazo mbali na rejesho nimemaliza japo kwa mbinde!
 
Ni vizuri angewaomba benki kusitisha mkopo kabla hela haijatoka,baada ya kubaini mambo yasiyo eleweka.
Pesa ni IBILISI!Yaani unajikuta wewe ndio unaitaka kuliko hata waliokuja na idea!haya mambo we sikia tu....na hakuna kitu kilinikera kama kujua wameniona mimi mbugila nikasema sawa wacha tuone
 
Uko sahihi sana!ila nisingeweza kuchafua recoding zangu halafu hao ndio mafia sijui wachukue hela kirahisi wapotee,kikubwa niliwalipa hela yao ya mchakato japo kweli walitangaza state of emergency!
 

Joh kasukuma kete zake vizuri sana, Hayo mengine ni hadithi zako tu.

Huyo jamaa angekua na uwezo wa kukata watu vichwa, asingekua anatumia njia ndefu hiyo ya kupata hela.

Akijitahidi sana arudi kwa shekhe Amsomee marijuani.
 
Dah!mwanangu wewe unamjua kabisaaaaaaa....maana hizo pombe kali ndio issue anapiga!yule mwanadada ni hatariii
 
Uko sahihi sana!ila nisingeweza kuchafua recoding zangu halafu hao ndio mafia sijui wachukue hela kirahisi wapotee,kikubwa niliwalipa hela yao ya mchakato japo kweli walitangaza state of emergency!

Kweli bila kukusomea kwa shekhe ni ngumu, Yaani ukope kwa majina yako halafu uwape 50%.

hela ya mkopo ambayo marejesho yanaweza fika hata 140%

Bila uchawi hapo, Dili kao ni Ngumu sana.
 
Hapo sawa,ninatumai hupati changamoto za marejesho ya mkopo,. Ina maana huyo dada alitaka mgawane pasu hyo mil 25 halafu marejesho akuachie wewe peke yako,? Maana we ndo unaye tambulika huko benki.
Na unaambiwa hata hiyo nusu nisingeambulia,kilichokuwa kinafuata angenipa business plan ya nguvu halafu tungekuwa partner kuna sehemu ningeweka hela nisingeiona tenaaaaa.....nimepambana na rejesho japo kuna namna nimeteseka ila nilimaliza!hii story ina miaka michache nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…