Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mkuu, ungefunguka tu historia ya ukweli wote mpaka ya nyuma ya pazia juu ya Utajiri wa Bakhresa. Maana akina fulani wanamsifia kuwa yeye ni msafi mno na mali alizonazo zote kazipata kwa njia safi mno.Bakhresa ni zao lile lile la minyoo..... hujui yaliyopo nyuma ya pazia ya watu aina ya Bakhresa! Narudi kwako wewe ni mnyoo tuuu hujui na huwezi elewa msoto wa kutafuta! Shiba kisha vimbiwa usubiri kuliwa na mmeo. Mko watu wa hovyo sana.
Sure ajira zikitoka ndo zinaongeza mzunguko wa biashara.Ajira hakuna
😄😄😄Tutaanza kulana sasa.Hali ni mbaya kweli ,na huu mfumuko wa bei unaoendelea ,kuna mahala cannibalism zitaanza
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Ukikipata kitengo mzee kwa nilivyokusoma kwenye hizo line mbili ktk bold sisi kama taifa na wafanyabiashara wenzio uliotuacha uraiani utatupiga na kitu kizito sana!Hzo gari Ni za wafanyakazi wa mataasis makubwa kakak angu alinunua namba e million 110m Sasa uliza Kaz anafanya kwenye taasisi gani acha kbsa
Ila ss wafanya bishara hatuna kitu kbsa ndio maan mm nimeanza kutafuta ajira inayo elewekaa
Adi wewe tajiri unalia😳😳Nimejaribu kila mbinu, hela haionekani. Naanza kujiuliza nimekosea wapi? Why now? Lakini pia kila ninaemuuliza anasema sio wewe tu hali imekuwa mbaya. But why? What has happened?
Inabidi ukomae hivyo hivyo hakuna namna unaweza fanya maana hata mikopo nayo siku hizi ni ngumu kupata.Mifereji ya pesa imeelekea kwenye mifuko ya watu wa chache. Huku majority tukibaki hoehae. Kiufupi hali ni mbaya hakuna kitu kibaya kwenye biashara kama mzunguko kushuku unaweza tamani ukimbie Biashara
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kufa kufaana nini😂😂😂Mtaani kwetu, pesa zipo.
Mm biashara yangu ni nzuri tu, kinachonisaidia nipo karibu na hospitali kuu, hivyo napata wateja pale kinapolia tu, nauza mpaka manne kwa siku,
Asia mauzo ya gold kuanzia mwaka juzi yamezidi kuwa makubwa sana , nahisi kuna kitu kibaya sana kinakuja ,maana huu mfumuko wa bei na collapse ya revenues na income si WA kawaidaNaomba unifungue macho.
Nina wazo la kununua Gold na kui weka, wapi salama BOT au ma bank kawaida?
Na walimu pia wameanza kudunda now days?Wenye ajira zetu tunaendelea kudunda kwa raha zetu, huku tukiponda maisha kwa kadri tuwezavyo.
DuhNdiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.
Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
KbsaàMkome kuweka midoli madarakani
Matajiri akina Bakhresa na Mo sisi waganga njaa ndio maana tunalia.Adi wewe tajiri unalia😳😳
Ajira ya bongo ni wangapi wanakula 5m kwa mwezi?Na walimu pia wameanza kudunda now days?
Hpn mkuu nitapata relif aisee na biashara inanipa stress wakat uwezo wa kutafauta kaz na. Kupata ninaoUkikipata kitengo mzee kwa nilivyokusoma kwenye hizo line mbili ktk bold sisi kama taifa na wafanyabiashara wenzio uliotuacha uraiani utatupiga na kitu kizito sana!