Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Mkuu unakumbuka 2015?
Kilichompa Magufuli urais ni kelele za wanyonge zilizidi ikawa hakuna namna Membe mtoto mpendwa akatiswa?
Uko sahihi sana mkuu, ila niamini hawa jamaa wanajua wanachofanya na hawana shida na walala hoi kwa sababu utawala na nguvu hauko kwa walala hoi.

Itawezekana hilo pale tu siku power itaporudishwa kwa watu, sijui kama unajaribu kunielewa.
 
Ni kweli, kikwete ni chanzo Cha mgenge ya ufisadi, na huyu mama anayelea kwelikweli, something must be done.
 
Kama mchaga hafai,kimei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…