Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Ukitaka kunyoosha chuma kilichopinda lazima ukipashe joto. Magufuli alikuwa anayoosha kwa kupasha joto.
 
Walipita wakaja
 
Sasa kwa miaka ijayo hali ndo itakuwa ngumu zaidi mana kuna uchaguzi mwaka huu na mwakan plus hela nyingi ztapelekwa maandalizi ya AFCON aisee nchi itakuwa ngumu sn hii ni kuombeana mungu tu
Uchaguzi pesa zitaenda kwenye kandarasi ya kuchapa karatasi lakini nyingi zitakuja mtaani.

AFCON ndio janga watspewa kandarasi wageni, hivyo watachota hazina yetu.

Wangekuwa na akili wangeajiri consultants pekee ujenzi zipewe kampuni za kizawa pesa ibaki
 
Ukitaka kunyoosha chuma kilichopinda lazima ukipashe joto. Magufuli alikuwa anayoosha kwa kupasha joto.
Magufuli's Administration in Economy ilikua total failure kwa siku za usoni! Sera zake hazikua rafiki kwenye kuponya majeraha ndio maana nayeye ilifikia hatua serikali yake ilikopa hadi taasisi za biashara zenye riba kubwa sana na mikopo ya muda mfupi!! Imagine huu utawala unalipia mikopo iliyoiva aliyokopa Magufuli!
 
Hii nayo ni hatari
 
Hali tete
 
Umeongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…