Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Kitu kimoja wakati wa Magufuli wafanyabiashara wote walionyooka walikuwa vizuri sana hata Wahindi, sasa hivi wote wana struggle.
Kipindi Magufuli anaingia kumbuka alirithi uchumi wa JK ambao bado pesa ilikuwemo mifukoni mwa watu..... so kinachotokea sasa ni matokeo ya muda mrefu ya utekelezaji wa sera zake hasa baada ya kukusanya sana mapato ya taasisi yaliyokua nje ya BoT na kuya centralise then kwenda kulipa miradi mikubwa iliyopeleka pesa nyingi nje.

Ilikua suala la muda tu tuanze kulipia yale maamuzi. Kinachoshangaza sasa ni kuambiwa nchi inakusanya mapato maradufu huku huoni uhalisia wake!

Kama wafanyabiashara hawana turnover za kutosha simply mzunguko wa hela ni mdogo sana sasa hao TRA wanapata hizo kodi kwenye mzunguko upi?
 
Tangu Covid maisha duniani yamekuwa magumu sana na vitu kupanda bei sana
Tofauti ya nchi masikini na nchi tajiri ni kuwa hata kama vitu vinapanda lakini wengine tunamudu
Na kazi nje ni nyingi kwa unaweza hata ukafanya hata kazi tatu
Ila nchi masikini naona wameumia zaidi na zaidi
Poleni sana at least mmeletewa mchele
 
Wanajamii forums bhana,wakija kule kwenye nyuzi za UTT wanaiponda mnoo,wanasema ni ujinga kuweka mil 50 ili upate laki 5 kila mwezi. Wao wanasema hyo pesa wange itriple ndani ya mwaka kwenye biashara zao..

Ila maajabu nashangaa wanatoa mlio hapa..

This is jamii forums
 
Mchele?
Unatudhihaki mkuu ujue
 
Wanajamii forums bhana,wakija kule kwenye nyuzi za UTT wanaiponda mnoo,wanasema ni ujinga kuweka mil 50 ili upate laki 5 kila mwezi. Wao wanasema hyo pesa wange itriple ndani ya mwaka kwenye biashara zao..

Ila maajabu nashangaa wanatoa mlio hapa..

This is jamii forums
Acha ujinga maisha sio UTT pekee, kama huna mzunguko mzuri huwezi kuvumilia 50M ibaki bank ukose biashara.

Biashara ikinawiri ndipo una jeuri ya kuwekeza UTT
 
Back
Top Bottom