Mkuu kuna tatizo mahali
Kweli tunahitaji viwanda lakini kuna mabonde mengi ya kupita huko
Kuna viongozi wanabana sana sijui kwanini
Hivi leo sisi na mazao yote hayo kunakuwa na shida ya kuleta kwenye masoko ya dunia?
Viwanda leo tunahangaika kuwa navyo
Ila nimeona wame assembled ndege ila mwananchi wamesema mmetengeneza hebu mnijulishe na mimi nijue
Au ni kuunganisha kama Bajaj lakini wanasema zimetengenezwa?
Nimeshindwa hata kutoa korosho nje mkuu nipite wapi anagalia bei zake Ulaya linganisha na bongo
View attachment 2938279View attachment 2938280