Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

My turnover dropped by 60% comparing to Magufuli era.........dont know what gonna happen,future looks bleak!
Hapa sasa kwa wale wa mishahara, hali ni mbaya zaidi kama utaugeuza mshahara kutoka kwenye Tshs kwenda kweny Us Dollar.

Mshahara umeshuka ghafla katika kipindi hiki cha miaka 3, hakuna anayejali.

Dollar imefika 2,900 huko pembeni inakopatikana kwa wingi, na 2,5.. huko isikopatikana.
 
V
VIWANDA ILIKUWA POA SANA, ila tumedharau ndio matokeo yake haya.
 
Yes kwenye black market dollar ni tsh. 2,900 hadi 3,000
 
Mimi na wewe tukiteta tutafanya jambo la faida kwetu sote
Kila kitu kinawezekana mkuu ila huko ni pagumu sana wala sihangaiki
Macho yako Botswana
Unafuga na unalindwa
Ardhi unapewa kubwa sana na unaweka unachotaka
Doria kila saa
Unalindwa na mali zako mkuu
Najua unaweza kuwa na kitu ila kwa huko ni pagumu sana
Hata madini ya mawe mnayo mengi ila mikiki kibao
Napapenda nyumbani mkuu, eti tupewe special status kama wakimbizi 😄
 
Ngoja niwaambie kitu kimoja sijui kama mtanielewa, kwa maisha tuliyofikia sasaivi, hata duniani, kila mtu ajikite kwenye potential yake ( HAPA NDIO KUNAPESA YA KUFA MTU) sema wengi hawafahamu haya mambo, ila sasa ili utoboe vizuri hahahah SERIKALI YAKO IFANYE UWEKEZAJI.( POTENTIAL) mnielewe wakuu, hatuwezi kuajiriwa wote, hatuwezi kuwa wajasiriamali wote, hatuwezi kuwa wafanyabiashara wote...
 

Kiukweli Mama ame focus sana na matajiri na watu wenye biashara kubwa kubwa tu lakn wafanyabiashara wadogo kama machinga wanafukuzwa barabarani kuwa wanaharibu muonekano wa miji na majiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…