dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Uko sahih kbsaa funga kwa kweli nenda kaokote Huko eacop biashra Ni nyoko aisee duh nawahurumia wanaolipa Kodi laki tano kwa mwezi na zaid huwa nawaonea huruma snaaAcha tu ndugu hakuna kitu kibaya kama biashara kudoda .Mbaya zaidi pesa ya matumizi ukiwa unatoa humo humo.
Kuna kipindi biashara ilichangamka mpaka nikawa najilaumu hivi muda wote nilikuwa wapi kumbe ilikuwa ni high season.
Mambo yakabadilika mpaka kunasiku nikasema biashara sio talanta yangu nikarudi kukomaa kutafuta ajira bahati nzuri nikafaulu interview ya bomba la mafuta.
Sema mchakato bado mrefu vipimo,. Hii biashara now nimejiegesha tu siku tukiitwa kuanza kazi au kodi ikiisha nafunga .