Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Acha tu ndugu hakuna kitu kibaya kama biashara kudoda .Mbaya zaidi pesa ya matumizi ukiwa unatoa humo humo.
Kuna kipindi biashara ilichangamka mpaka nikawa najilaumu hivi muda wote nilikuwa wapi kumbe ilikuwa ni high season.

Mambo yakabadilika mpaka kunasiku nikasema biashara sio talanta yangu nikarudi kukomaa kutafuta ajira bahati nzuri nikafaulu interview ya bomba la mafuta.
Sema mchakato bado mrefu vipimo,. Hii biashara now nimejiegesha tu siku tukiitwa kuanza kazi au kodi ikiisha nafunga .
Uko sahih kbsaa funga kwa kweli nenda kaokote Huko eacop biashra Ni nyoko aisee duh nawahurumia wanaolipa Kodi laki tano kwa mwezi na zaid huwa nawaonea huruma snaa
 
Vijana natoa ushauri jitumeni kwenye kamari nanyi fuateni utajiri wa kubashiri.
Kamari inamfaa mtu ambae anakipato cha uhakika hata akipoteza anauhakika mwisho wa mwezi account itasoma.
Au kijana ambae bado yuko kwa wazazi hawazi kodi wala chakula .
Lakini ukitegemea kama chanzo cha kipato mfano utegemee kamari ndio ulipe kodi hakuna rangi utaacha kuona, utadhalilika vibaya.

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
acha kupotosha na kuwapa hofu vijana, jifunzeni na mkajitume Yale yenye misingi katika kubashiria
 
Back
Top Bottom