DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles πŸ‡ΈπŸ‡¨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles πŸ‡ΈπŸ‡¨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Maweeee kumbe ni jukwaa la siasa.....

Am sorry.....πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Njoo kule kwetu love connection 🀣🀣 huku hakuna wazee mahaba 🀣🀣
 
Uandishi wako haufanyi legacy kutochafuka.Kwa ufupi,mjomba wenu alikuwa mwizi balaaa!

inawezekana kweli alikuwa mwizi, lakini hii haizuii kuwafumbia macho wengi pia waliokaa kwenye hiyo nafasi ambao walikuwa wezi kama yeye au zaidi yake..

Tunajisahau sana kwa kupambana na marehemu na kusahau wapo wezi wengi wako hai na bado wanaendelea kulitafuna Taifa kila siku..
 
Katika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.
Watu wa aina hiyo ni wa hovyo sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom