Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Weye na mahaba tu!Kama ni hivyo,usiwapende wanasiasa,hela zao na siasa zao.
Yaani sijui nisemejeee.....
Ila siwezi kusema zaidi, nimefungwa mdomo.
Kazi za watu hizi.
By the way naondoka hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye na mahaba tu!Kama ni hivyo,usiwapende wanasiasa,hela zao na siasa zao.
Njoo kule kwetu love connection π€£π€£ huku hakuna wazee mahaba π€£π€£Maweeee kumbe ni jukwaa la siasa.....
Am sorry.....πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Uandishi wako haufanyi legacy kutochafuka.Kwa ufupi,mjomba wenu alikuwa mwizi balaaa!Hakuna awamu ambayo haijawahi kuliibia Taifa hili, hasa kuanzia ya pili nakuendelea.
Tukitaka kupigana hii vita tuache unafiki.
Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!Serikali ya Magu yoooteee bado ipo madarakani na ilihusika kuficha hizo pesa. Mnacheza ngoma za wanasiasa
Duh mna hasira..[emoji1787]Sasa si ukazichukue
Wanaona legacy inazidi kuzamaDuh mna hasira..[emoji1787]
Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!
Toa taarifa acha maneno ..ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.
Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Uandishi wako haufanyi legacy kutochafuka.Kwa ufupi,mjomba wenu alikuwa mwizi balaaa!
hata moto huanza na cheche, Roho inauma lkn ndo hali halisi majizi lzm cha mtema kumi mkione!!!Unapost JF uweke na ushahidi walahu hats wenye mashaka ila uwe ushahidi tu... hapa sio facebook watu wana akili zao Na mipango yao
Sasa hizo sio zile za kaka ake dada? Au basi zile za kaka mstaafu kaficha Malaysia.Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
ππKatika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.
Watu wa aina hiyo ni wa hovyo sana.
Nyuzi zako zimekaa kifyokofyoko sanaKuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Kilaza kama huyu hawezi kuwa na vitu vya maanaUnapost JF uweke na ushahidi walahu hats wenye mashaka ila uwe ushahidi tu... hapa sio facebook watu wana akili zao Na mipango yao
Sasa lianze zoezi zima la kukagua pesa zilizoko kwenye mabenki ya nje ambazo zinamilikiwa na watanzania.Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.
Msiwachafue wote.Kuna mmoja alijiona ni simba wa Yuda.Kila kitu yeye tu.Serikali ya Magu yoooteee bado ipo madarakani na ilihusika kuficha hizo pesa. Mnacheza ngoma za wanasiasa
Msiwachafue wote.Kuna mmoja alijiona ni simba wa Yuda.Kila kitu yeye tu.