DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watanzania mmepigwa upofu kwa kumezeshwa ndoano ya JPM alikuwa mwizi, katiri na blah blah tele na wengi kuimba huu wimbo ilihali JPM amekufa na kuzikwa na hayupo tena duniani..

Wajinga na wezi wanawapoteza maboya Watanzania na kujisahau huku wakicheza ngoma wasiyoijua na Majamaa yakiendeleza kupiga na base za watoto wao na familia yao huku mazuzu yakipambana na marehemu JPM....hatari sana.
 
Mama amka please! Nchi inatafutwa hii!
Sawa mkuu,ila wasianze kuchafua wasiokuwepo,ilhali wao bado wapo...

Ndio sababu nasema Rais aache kulalamika,aanzishe rasmi kikosi kazi cha kuzunguka duniani ili kutafuta pesa zote zilizofichwa huko!
Wala diongelei pre bargain pekee!
Bali kuanzia
SYMBION
MEREMETA
KAGODA
IPTL
EPA
RADA
nk....

Halafu tuone ni nani atabaki salama hapo CCM.

Hii ni muhimu kabisa kabla hata ya katiba mpya!
 
Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Yule Mzee aliyefata dawa ya korona kwa ndege yetu kumbe ndani alibeba mzigo wa noti, ila Jiwe katajirisha watu, kama Kuna mtu alipewa fedha kwa Siri, itakuwa kakausha nazo.
 
Katika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.
Watu wa aina hiyo ni wa hovyo sana.
Ambaye alikuwa msafi na mkewe naye akawa msafi, ni nyerere peke yake
 
Hakuna awamu ambayo haijawahi kuliibia Taifa hili, hasa kuanzia ya pili nakuendelea.

Tukitaka kupigana hii vita tuache unafiki.
Unajua nn mkuu tatizo linakuja pale tuliaminishwa ni wazalendo wa kweli tunawapambania wanyonge kibaya zaid unakuja kusikia hizi hbr mkuu inauma sana!! Hizo awamu nyingine mamb yanajulikana yalikua chukua chukua lkn mkuu imagine unaambiwa sisi ni wazalendo halafu unakuja sikia ngenga kama hiz unaweza kataa kusikiliza watawala mazima!!
 
Hakuna awamu ambayo haijawahi kuliibia Taifa hili, hasa kuanzia ya pili nakuendelea.

Tukitaka kupigana hii vita tuache unafiki.
Hata awamu ya kwanza waliiba. NMC, RTC, BANDARI na mashirika mengine. Kwenye vyama vya ushirika ununuzi hewa na baadaye kuchoma maghala.
Tafauti na sasa ni kuwa awamu ya kwanza hawakuweza kutumia pesa zao kutokana na Azimio la Arusha. Fedha zilifujwa tu.
 
Back
Top Bottom