DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Katika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.
Watu wa aina hiyo ni wa hovyo sana.
Lakini mbona mnapenda sana porojo
 
Unajua nn mkuu tatizo linakuja pale tuliaminishwa ni wazalendo wa kweli tunawapambania wanyonge kibaya zaid unakuja kusikia hizi hbr mkuu inauma sana!! Hizo awamu nyingine mamb yanajulikana yalikua chukua chukua lkn mkuu imagine unaambiwa sisi ni wazalendo halafu unakuja sikia ngenga kama hiz unaweza kataa kusikiliza watawala mazima!!

kila mwizi ana style yake mkuu, inawezekana awamu hiyo ya tano ile ndio ilikuwa style yao, hata hizi awamu nyingine ni yale yale na style tofauti tofauti....
 
Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Unao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani?
Tuwekee ushahidi, ikiwa ni pamoja na jina la benki, account number na mmiliki wa hiyo account.

Ukishindwa kufanya hivyo, basi, wewe ni mpika majungu tu.
 
Unao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani?
Tuwekee ushahidi, ikiwa ni pamoja na jina la benki, account number na mmiliki wa hiyo account.

Ukishindwa kufanya hivyo, basi, wewe ni mpika majungu tu.
Huyu mtu na jamaa zake waliwafanya watanzania mabwege
 
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Kuna awamu Italia mpaka kufa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jiwe amekinajisi taifa wallah!

Tutenge siku ya kitaifa ya kulichapa kaburi lake
Nyamaza we Kima utakufa umesimama nashangaa kwanini unamuandama hivi huyu hayati wawatu kakukosea nini we malaya mbwa usiye na kwenu
 
Mbona za Jiwe mnaandika bila ushahidi. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee
Kuandika au kuongea tu bila facts zitatufikisha wapi?Kwa nini asipelekwe mahakamani?Kutamka tu au kuandikaandika mbona kila mtu anayejua abecheedee ataandika!
 
Mbona za Jiwe mnaandika bila ushahidi. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee
Mjomba wako mpendwa jiwe alikuwa kibaka na ushahidi mnautoa wenyewe.Jamaa alikuwa tiipii kinoma.Halafu akishiba anajilaza juu ya jiwe kama karunguyeye!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom