Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hata kwenu wezi wapo ndo maana hawana kikomo cha uenyekiti
Anza sasa!Ninyi mnaishi na wezi.Fichueni wezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza sasa!Ninyi mnaishi na wezi.Fichueni wezi!
Lakini mbona mnapenda sana porojoKatika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.
Watu wa aina hiyo ni wa hovyo sana.
Huo ndio ukweliKuna madai kwamba tukiingia nyumbani kwa mmoja wao kuna chumba cha sqm 40 kimejaa noti .
wewe kama sio serikali ulivyosema mkianza kuwamulika uliowataja hawaponi ulimaanisha nini?Kwani mimi ni Serikali?
Unajua nn mkuu tatizo linakuja pale tuliaminishwa ni wazalendo wa kweli tunawapambania wanyonge kibaya zaid unakuja kusikia hizi hbr mkuu inauma sana!! Hizo awamu nyingine mamb yanajulikana yalikua chukua chukua lkn mkuu imagine unaambiwa sisi ni wazalendo halafu unakuja sikia ngenga kama hiz unaweza kataa kusikiliza watawala mazima!!
Yahkila mwizi ana style yake mkuu, inawezekana awamu hiyo ya tano ile ndio ilikuwa style yao, hata hizi awamu nyingine ni yale yale na style tofauti tofauti....
Aisee.....!Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Unao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani?Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Huyu mtu na jamaa zake waliwafanya watanzania mabwegeUnao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani?
Tuwekee ushahidi, ikiwa ni pamoja na jina la benki, account number na mmiliki wa hiyo account.
Ukishindwa kufanya hivyo, basi, wewe ni mpika majungu tu.
Huyu mtu na jamaa zake waliwafanya watanzania mabwegeUnao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani?
Tuwekee ushahidi, ikiwa ni pamoja na jina la benki, account number na mmiliki wa hiyo account.
Ukishindwa kufanya hivyo, basi, wewe ni mpika majungu tu.
Kuna awamu Italia mpaka kufa🤣🤣🤣🤣🤣ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.
Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Pesa nyingine zipo MV Mwanza.Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Hebu weka ushahidi wa wizi wa mwenyekiti(mnyakigoda)!Hata kwenu wezi wapo ndo maana hawana kikomo cha uenyekiti
Nyamaza we Kima utakufa umesimama nashangaa kwanini unamuandama hivi huyu hayati wawatu kakukosea nini we malaya mbwa usiye na kwenuJiwe amekinajisi taifa wallah!
Tutenge siku ya kitaifa ya kulichapa kaburi lake
Hebu weka ushahidi wa wizi wa mwenyekiti(mnyakigoda)!
Kuandika au kuongea tu bila facts zitatufikisha wapi?Kwa nini asipelekwe mahakamani?Kutamka tu au kuandikaandika mbona kila mtu anayejua abecheedee ataandika!Haa aiseee mara hii unajisahaulisha sakata la ruzuku kipindi wanapokea,mara hii haukumbuki pesa walizokua wanawakata wabunge na ofisi hajajenga
Kuandika au kuongea tu bila facts zitatufikisha wapi?Kwa nini asipelekwe mahakamani?Kutamka tu au kuandikaandika mbona kila mtu anayejua abecheedee ataandika!
Mjomba wako mpendwa jiwe alikuwa kibaka na ushahidi mnautoa wenyewe.Jamaa alikuwa tiipii kinoma.Halafu akishiba anajilaza juu ya jiwe kama karunguyeye!😂😂😂😂Mbona za Jiwe mnaandika bila ushahidi. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee