Mbunge anafanya kazi aliyotumwa na wananchi kwa manufaa ya wananchi anaowaongoza kwa hiyo faida ni kwa wote.Kama wabunge wanalipwa zaidi ya lak 3 kwa kusema ndio, mwisho wa mwezi zaidi ya milion 13, mafuta lita 1000 kwa wmezi, na kiinua mgongo cha miaka 5 zaidi ya mls 250 ambazo zote hizo ni pesa za walipa kodi, basi waache wanafunzi wapewe hiyo pesa maana ni mkopo wakimaliza wataulipa.
Punguzeni makasiriko sio kila kijana hiyo pesa anaitumia kwenye ulevi.
Hebu wacha hizo mkuu. Nafikri utaratibu wa canteen ni mzuri ila mdau ana hoja. Hela ya boom ipunguzwe ili wanachuo wote waliodahiliwa wapate hiyo kidogo kidogo. Sasa hivi hivyo vigezo walivyoweka vinasumbua sana kwa baadhi ya wanachuo waliokosa mkopoElim ya chuo iwe Bure,yaani fedha za Ada zitumike kununua mahitaji ya chuo!!
Hostel na chakula viwepo chuoni,wanachuo wapewe fedha za staitonery TU na kujikimu mahitaji madogo tu!!
Hakuna haja ya kuwakopesha wanachuo fedha ambazo hawana uhakika was kuzirudisha kwasababu ya kukosa ajira!!
Huna point ya msingi upuuzweSioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke chuo wameenda kusoma na sio kuoneshana ufahari wa matumizi,
Hivyo bodi ya mikopo iwapunguzie hawa wanafunzi pesa kutoka elfu 10 wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6 na si zaidi ya hapo.
Pia kuna hii pesa ya books and stationaries, kiukweli hakuna mwanachuo anayepoteza pesa yake kununua vitabu ,wengi wanasoma tu slides za walimu wao ikizidi sana wana google tu.
La kama kuna ulazima wa hivyo vitabu basi waende library na uzuri library nyingi vitabu wana azimisha kwa mwanafunzi anayehitaji.
Kwa hiyo hii pesa bora iondolewe tu.
Zingatieni hili kuna mahitaji mengi ya msingi kwa wananchi kuliko kuendelea kuwaendekeza hao.
Bora kiasi kipunguzwe na kielekezwe kwenye huduma zingine za msingi za kijamii.
Chakula cha asubuhi, mchana na usiku gharama yake ni kiasi gani chuoni?Ameomba radhi kwa sababu za kisiasa .
Ila uhalisia mwanafunzi elfu 5 au 6 kwa siku inamtosha kabisa na inabaki.
Mwanachuo anasoma kwa manufaa ya nchi. Elimu anayopata anakuja kuajiriwa kuendesha na kusimamia an kutekeleza miradi kama ya maji, barabara, kutibu raia akiwemo viongozi na kadhalika huku akilipa mkopo. Yote hii ni wka manufaa ya nchi. Hakuna nchi iliyoendelea pasipo kuwa na wasomi. Viongozi wengi wana akili kama zako hawaoni direct relationship iliyopo baina ya elimu na maendeleo ya nchi.Mbunge anafanya kazi aliyotumwa na wananchi kwa manufaa ya wananchi anaowaongoza kwa hiyo faida ni kwa wote.
Vipi kuhusu huyo mwanachuo?
Asipo ajiriwa watampata wapi?Mtu kapewa mkopo unamuonea wivu? Haitoshi pia unataka kumpangia na matumizi hata wapewe 20,000 kwa siku haina shida kama serikali Ina uwezo maana siku atazilipa mwenyewe.
Na vipi akiajiriwa?Asipo ajiriwa watampata wapi?
Kwahiyo hautaki Mtanzania mwenzako ale keki ya nchi hii, suala la ajira ilitakiwa serikali yenyewe iwe na uwezo mkubwa wa Kutengeneza Projects kubwa ambazo zitaajili watanzania wengi bila kusahau kuweza kusimamia hizo Projects kwa ubora unaokubalika. So acha vijana wafurahie uwepo wa rasilimali zetu.Kama hoja ni mkopo basi mkopo upunguzwe maana mkopo sio deni kwa mtoaji.
Pesa ipunguzwe ,maana hata wakimaliza wanaobahatika kupata ajira ni wachache hivyo kiwango kubwa cha pesa kimaisha kupoteza tu juu kwa juu
Wanachuo wakikufahamu watakuburuzia kichakani ule vitasa.Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke chuo wameenda kusoma na sio kuoneshana ufahari wa matumizi,
Hivyo bodi ya mikopo iwapunguzie hawa wanafunzi pesa kutoka elfu 10 wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6 na si zaidi ya hapo.
Pia kuna hii pesa ya books and stationaries, kiukweli hakuna mwanachuo anayepoteza pesa yake kununua vitabu ,wengi wanasoma tu slides za walimu wao ikizidi sana wana google tu.
La kama kuna ulazima wa hivyo vitabu basi waende library na uzuri library nyingi vitabu wana azimisha kwa mwanafunzi anayehitaji.
Kwa hiyo hii pesa bora iondolewe tu.
Zingatieni hili kuna mahitaji mengi ya msingi kwa wananchi kuliko kuendelea kuwaendekeza hao.
Bora kiasi kipunguzwe na kielekezwe kwenye huduma zingine za msingi za kijamii.
We inakuhusu nini watu hawafanani matumiziTuongee uhalisia.
Elfu 10 kwa siku kwa mtu ambaye huna majukumu zaidi ya kusoma unaitumia vipi?