msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 470
- 357
Kama mfanya research ndio huyu, tuko na safari ndefu mno kufikia mabadiriko chanyaNaona upo kwenye research unakusanya maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mfanya research ndio huyu, tuko na safari ndefu mno kufikia mabadiriko chanyaNaona upo kwenye research unakusanya maoni
Wewe 5000 kwa siku ungeibudget vipi kutokea asubuhi hadi usiku katika kujikimu? [emoji848]Ameomba radhi kwa sababu za kisiasa .
Ila uhalisia mwanafunzi elfu 5 au 6 kwa siku inamtosha kabisa na inabaki.
Sasa hivi nafikri chakula kwenye kantini kitakuwa imefikia labda 2000 sasa ukiweka na chai pamoja na maji hiyo 5k haitoshi kwa kweli ila 7.5k inatosha na chenji inabaki. Maji pale Bugando nafikri kwenye ile mitambo yao wanauziwa 200 kwa lita kama sikosei! Wakifanya hiyo 7.5k vijana wote walioko chuoni wapewe boom!Wewe 5000 kwa siku ungeibudget vipi kutokea asubuhi hadi usiku katika kujikimu? [emoji848]
kama ulishawahi kusikia kuna watu huwa wanatumwa au kutumiwa na shetani, wewe ni mmoja wao. na ninaamini haujawahi kupitia chuo. badala ya kusema waongezwe unataka wapunguziwe?Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke chuo wameenda kusoma na sio kuoneshana ufahari wa matumizi,
Hivyo bodi ya mikopo iwapunguzie hawa wanafunzi pesa kutoka elfu 10 wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6 na si zaidi ya hapo.
Pia kuna hii pesa ya books and stationaries, kiukweli hakuna mwanachuo anayepoteza pesa yake kununua vitabu ,wengi wanasoma tu slides za walimu wao ikizidi sana wana google tu.
La kama kuna ulazima wa hivyo vitabu basi waende library na uzuri library nyingi vitabu wana azimisha kwa mwanafunzi anayehitaji.
Kwa hiyo hii pesa bora iondolewe tu.
Zingatieni hili kuna mahitaji mengi ya msingi kwa wananchi kuliko kuendelea kuwaendekeza hao.
Bora kiasi kipunguzwe na kielekezwe kwenye huduma zingine za msingi za kijamii.
Kwani majukumu uliyokuwa nayo wewe unadhani na mwenzako anayo yaleyale mkuu? Kila mmoja ana majukumu yake.Tuongee uhalisia.
Elfu 10 kwa siku kwa mtu ambaye huna majukumu zaidi ya kusoma unaitumia vipi?
Angesema hivi kidogo angeonekana ana point.Mleta mada angesema ipunguzwe ili wanachuo wote wapate. Na siyo lazima iwe 5000 inaweza kuwa hata 7500 kwa siku ili inayobaki ikajazie kwa waliokosa!
Tatizo unakunywa sana bia 😂😂😂Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke chuo wameenda kusoma na sio kuoneshana ufahari wa matumizi,
Hivyo bodi ya mikopo iwapunguzie hawa wanafunzi pesa kutoka elfu 10 wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6 na si zaidi ya hapo.
Pia kuna hii pesa ya books and stationaries, kiukweli hakuna mwanachuo anayepoteza pesa yake kununua vitabu ,wengi wanasoma tu slides za walimu wao ikizidi sana wana google tu.
La kama kuna ulazima wa hivyo vitabu basi waende library na uzuri library nyingi vitabu wana azimisha kwa mwanafunzi anayehitaji.
Kwa hiyo hii pesa bora iondolewe tu.
Zingatieni hili kuna mahitaji mengi ya msingi kwa wananchi kuliko kuendelea kuwaendekeza hao.
Bora kiasi kipunguzwe na kielekezwe kwenye huduma zingine za msingi za kijamii.
watakuambia ni mkopo siyo ruzukuSioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.

Ipangilie Matumizi hiyo 5000Ameomba radhi kwa sababu za kisiasa .