Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Sifanyi huo ujinga simpi bali namkopesha na lazima airudishe, na nahakikisha anairudisha kweli Sina masihara na Pesa ninayoisaka usiku na mchana alafu aje kiumbe ana Miguu miwili na mikono miwili eti akaichukua tu kibwete bila kuifanyia kazi ya maana haipo hio
Kwaiyo hata wanao unawakopesha?
 
Ndio hivyo yaan we kazi kubwa unayoifanya ni ipi hadi upewe Pesa tu kibwete ambayo watu wanaisaka kwa jasho usiku na mchana watu wanasacrifice mpaka usingizi wao ili wapate Pesa we uichukue kibwete tu? Nakukopesha na lazima urudishe usiporudisha tunafunga mkataba katafute wanapotoa Pesa bure
Huu msimamo nimeupenda.
Sasa kila mtu ale kwa nguvu zake
 
Mtu anayefanya hayo jua ana uwezo wa kufanya hayo na hiyo pesa haimuumi.

Siku zote sisi tusiokuwa na pesa tukiona mwenye pesa anatumia pesa zake tunasema anatumia vibaya.
Hivi wewe unawajua vijana wa hovyo?
Sisi kazini tulikuwa naye mmoja. Anakubali kazini ale mihogo na chai atumie buku tu halafu jioni anakwenda kuteketeza 50 kwenye zinaa. Alifukuzwa kazi sasa naona anazikumbuka zile 50k za lodge
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Kweli kabisa bora upige nyeto uokoe kibunda. Uzinzi ni gharama
 
Kuna wanaume maboya kweli aliyekuambia kwasababu wewe ni mwanaume basi unatoa tu nani.? Ndo maana Kuna wanawake wamegeuza viungo vyao mtaji baadao ya kugundua Kuna wanaume maboya. Kama mwanaume unachotakiwa kufanya nikumsaidia katika baadhi ya vitu mfano unahitaji mawasiliano na hana simu, Itabidi umtafutie simu ya Ili muwasililane, hana nguo nzuri, Mnunulie apendeze . Hayo hufanyika wakati tayari mna mahusiano

Pesa zinatumika pale unapo taka kulazimisha penzi unatumia nguvu ya pesa baada ya kushindwa kushawishi Kwa maneno, Mara nyingi sis wazee ndo tunatapaswa kufanya hivyo sio vijana.
kunikosoa ruksa
 
Hivi wewe unawajua vijana wa hovyo?
Sisi kazini tulikuwa naye mmoja. Anakubali kazini ale mihogo na chai atumie buku tu halafu jioni anakwenda kuteketeza 50 kwenye zinaa. Alifukuzwa kazi sasa naona anazikumbuka zile 50k za lodge
Unajua kila jambo kuna vile mtu analichukulia (mtazamo) yeye kumaliza hela gest huenda kwake anaona ndo sahihi kuliko kula au kufanya kingine.

Mtu kama huyo hata hizo 50 huenda hajutii kama unavyodhani, na akipata zingine mwendo utakuwa uleule.
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Kaka mkubwa umeandika mambo ya akili sana ila sidhani kwa vijana hawa walio jaa ujuaji kama watakuelewa. Mimi binafsi nilishakua kama wewe kuumiza kichwa kufikiria jinsi gani utaiokoa jamii yako ila niliona nitaota upara bure tu .

Hawa vijana dawa yao ni kuwaletea mambo ya kipumbavu na ya kishenzi zaidi yao ndio mtaenda nao sawa ila ukileta ya akili watu hawakuelewi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom