Sifanyi huo ujinga simpi bali namkopesha na lazima airudishe, na nahakikisha anairudisha kweli Sina masihara na Pesa ninayoisaka usiku na mchana alafu aje kiumbe ana Miguu miwili na mikono miwili eti akaichukua tu kibwete bila kuifanyia kazi ya maana haipo hioKwaiyo kumpe mpenzi wako hela ni kuichezea?
😂 ngoja nisikatae hizo baraka za hiyo assetTushajua unamilik Lodge [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio ndioSifanyi huo ujinga simpi bali namkopesha na lazima airudishe, na nahakikisha anairudisha kweli Sina masihara na Pesa ninayoisaka usiku na mchana alafu aje kiumbe ana Miguu miwili na mikono miwili eti akaichukua tu kibwete bila kuifanyia kazi ya maana haipo hio
Ndio hivyo yaan we kazi kubwa unayoifanya ni ipi hadi upewe Pesa tu kibwete ambayo watu wanaisaka kwa jasho usiku na mchana watu wanasacrifice mpaka usingizi wao ili wapate Pesa we uichukue kibwete tu? Nakukopesha na lazima urudishe usiporudisha tunafunga mkataba katafute wanapotoa Pesa bureNdio ndio
Kwaiyo hata wanao unawakopesha?Sifanyi huo ujinga simpi bali namkopesha na lazima airudishe, na nahakikisha anairudisha kweli Sina masihara na Pesa ninayoisaka usiku na mchana alafu aje kiumbe ana Miguu miwili na mikono miwili eti akaichukua tu kibwete bila kuifanyia kazi ya maana haipo hio
Huu msimamo nimeupenda.Ndio hivyo yaan we kazi kubwa unayoifanya ni ipi hadi upewe Pesa tu kibwete ambayo watu wanaisaka kwa jasho usiku na mchana watu wanasacrifice mpaka usingizi wao ili wapate Pesa we uichukue kibwete tu? Nakukopesha na lazima urudishe usiporudisha tunafunga mkataba katafute wanapotoa Pesa bure
Hivi wewe unawajua vijana wa hovyo?Mtu anayefanya hayo jua ana uwezo wa kufanya hayo na hiyo pesa haimuumi.
Siku zote sisi tusiokuwa na pesa tukiona mwenye pesa anatumia pesa zake tunasema anatumia vibaya.
Ushasema wananguKwaiyo hata wanao unawakopesha?
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara
facts.Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe
Kweli kabisa bora upige nyeto uokoe kibunda. Uzinzi ni gharamaNgono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.
Kijana amka.
Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.
Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.
Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
YesMtu anayefanya hayo jua ana uwezo wa kufanya hayo na hiyo pesa haimuumi.
Siku zote sisi tusiokuwa na pesa tukiona mwenye pesa anatumia pesa zake tunasema anatumia vibaya.
Unajua kila jambo kuna vile mtu analichukulia (mtazamo) yeye kumaliza hela gest huenda kwake anaona ndo sahihi kuliko kula au kufanya kingine.Hivi wewe unawajua vijana wa hovyo?
Sisi kazini tulikuwa naye mmoja. Anakubali kazini ale mihogo na chai atumie buku tu halafu jioni anakwenda kuteketeza 50 kwenye zinaa. Alifukuzwa kazi sasa naona anazikumbuka zile 50k za lodge
Sasa lodge zife? Siungi mkono uzinzi ila kuna mambo umeeleza ndivyo sivyo.
Unatuliaje hapo?Hata kuchezesha dimba la kati ni wewe. Yeye katulia tu kama robota
Kaka mkubwa umeandika mambo ya akili sana ila sidhani kwa vijana hawa walio jaa ujuaji kama watakuelewa. Mimi binafsi nilishakua kama wewe kuumiza kichwa kufikiria jinsi gani utaiokoa jamii yako ila niliona nitaota upara bure tu .Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.