Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

I discovered this kind of scam long time ago. Sex is mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume abebeshwe gharama kama vile anafanyiwa favor. Katika mambo ambayo nimeyanyosha ni suala la cost management katika mahusiano. We split all costs or each one should take care of his/her bills. Period!
Sawa ni rahisi tu ishi na wazungu.
 
True ndo maana nimebaki singo napiga mazoezi makali asubuhi na jioni ili nisipate muda wa kuwaza sana ngono
 
Cha ajabu vijana walio oa ndio tunashinda nao bar kila weekend hawataki kurudi nyumbani wanasema kuna makelele, usijidanganye ukaoa ili upate uhakika wa mbususu. Kama unaweza kulipia upunguze uzito then uendelee na shughuli zako za msingi nakushauri lipia. Attachments/Ndoa inakusogeza karibu na kifo zaidi
 
kijana onea hurua akili yako
kijana penda familia yako
kijana bora umpe mama hela hiyo hela ya lodge
kijana penda mwili wako.
kijana mama yako asante yake inafungua rizki na kuleta baraka kwako
kijana hao watu kuruka ruka nao kuna mikosi kwenye maisha
kijana tunza hela yako
kijana kuwa mbinafsi kwa malengo
 
Unajua kila jambo kuna vile mtu analichukulia (mtazamo) yeye kumaliza hela gest huenda kwake anaona ndo sahihi kuliko kula au kufanya kingine.

Mtu kama huyo hata hizo 50 huenda hajutii kama unavyodhani, na akipata zingine mwendo utakuwa uleule.
Kweli Nadhani ni jinsi mtu alivyoumbwa katika Vipaumbele vyake na kile kinachompa Raha. Mwingine kuhonga mwanamke kwake ndio raha .. na anapenda mwanamke amuombe hele na yeye ajisifie kuwa mm ninamtunza huyu etc etc,,... DUNIA PANA SANA HII..
 
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).

Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.

Ila kwakuwa kichwani mwa kijana mpumbavu kumejaa uchafu hakuna shida atalipia lodge, atampa nauli ya kuja na kurudi huyo binti. Binti atanunuliwa chips na kuku na kama mlevi basi atamlewesha na mwisho wa safari itambidi ampe pesa ya kumuhonga na binti malaya asiye na aibu, aliyekosa mafundisho sahihi atapokea pesa mimacho imemtoka na ataanza kutaja shida zake zingine.

Kijana amka.

Kijana huyu mpumbavu ataponda kapesa kidogo anachopata akijisemea maendeleo atafanya akipata kazi nzuri. Uzee unamjia, anakwenda kuzeeka na ufukara.

Kijana mzinzi hata akipata pesa kiasi gani ni bure kabisa. Kama kichwa chako hakiwezi kutulia bila kuwaza ngono ni vyema uoe. Si lazima ufanye sherehe. Hata kusogezana sio mbaya ilimradi tu mumeelewana na wazazi wenu wanatambua. Ndoa sio ile sherehe na makamera. Ile ni sherehe tu. Nendeni kwa mchungaji awafungishe ndoa ofisini kwake au mwiteni ustadhi awafungishe ndoa nyumbani kwenu.

Zinaa inaondoa baraka. Zinaa inakusogeza karibu na kifo.
Sasa pesa si ndio inanunua material ya kusafishia tundaa, tusipo safisha na kuiweka safi utakula kwel? Alaf mkigoma sisi tutatumia dildo nyie mtatumia nini?
 
Sikupingi mkuu hii ni busara ila nadhani kuweka mazingira sawa ya ushauri wako ni tujitahidi kuwa na msichana mmoja itasaidia sana
Binafsi kuwa na girl friend mmoja ambae Kuna wakati ananiuzia na Kuna wakati ananipa free imesaidia sana
Haisaidii maana naye ni muuzaji tu, hakuna mwanamke utakuwa naye aache kutaka dependency ya hela kwako. Hata walioolewa (Wake) ni madanga kwa waume wao -hawataki kufanya kazi wanataka mme ndie ahudumie kila kitu et kwa sabab ni watoto wake.
Unaweza ukawa na mwanamke mmoja akakuchuna kulko kuwa na wanawake 6 unaowapa vi-ten ten. Dhana ya kuchunwa ni very contradictory
 
Kweli Nadhani ni jinsi mtu alivyoumbwa katika Vipaumbele vyake na kile kinachompa Raha. Mwingine kuhonga mwanamke kwake ndio raha .. na anapenda mwanamke amuombe hele na yeye ajisifie kuwa mm ninamtunza huyu etc etc,,... DUNIA PANA SANA HII..
Uko sahihi mkuu
 
Sasa pesa si ndio inanunua material ya kusafishia tundaa, tusipo safisha na kuiweka safi utakula kwel? Alaf mkigoma sisi tutatumia dildo nyie mtatumia nini?
Samahani mkuu, wewe ni me au ke?
 
Back
Top Bottom