Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu jamaa 2025 anachukua jimbo huko kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni tafsiri yako ila si ya mkataba IGaHakuna anayeweza kuuza bandari ni uelewa wetu kuwa mdogo na kuwasikiliza sana wanaharakati wenye kupotosha jamii wakiwa na malengo maalum.
Bandari inakodishwa, hii ya Dar inakwenda kuwa na wapangaji wawili DPW na mwingine wa magati namba nane mpaka namba kumi na moja.
Ile ya Tanga inakwenda kuwa na mwendeshaji mmoja, ile ya Bagamoyo inakwenda kuwa na mwendeshaji mwingine.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kuhitaji mtu kuyatazama kiuchumi, mtu tu layman mwenye uelewa mdogo wa masuala nyeti hawezi kuelewa nini haswa kinachotafutwa.
Tunatoka katika mfumo wa mmiliki wa bandari kuendelea kumiliki yeye kama yeye tunaingia katika mfumo wa Land lord Port ambao mwendeshaji mkuu TPA anakuwa na wapangaji wengine ili kuongeza ufanisi na kurahisisha mzigo mwingi sana uliopo ndani ya Tanzania na nchi zinazotuzunguka kuweza kuyafikia mataifa ya nje haraka.
Kuna tani zaidi ya milioni 30 za mizigo mbalimbali inayotakiwa itoke huko bara na kwenda nje ya nchi, huo ni mzigo mwingi sana na kwa aina ya uendeshaji wa kizamani wa bandari tulionao hakuna nafasi ya kitaifa kuweza kuinuka kiuchumi.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kutaka ufafanuzi wa kina wa kiuchumi, huu sio wakati wa kufikiria kizamani halafu matokeo ya ufikiriaji huo yawe na mashiko kwenye maisha ya kisasa.
IGA imepotoshwa mpaka tumeshindwa kuitazama kwa akili za kawaida tu. Ingekuwa na nguvu sawa na inavyotamkwa hizi barua za TPA zinazoongelea tender za uendeshaji wa bandari zisingeweza kutolewa.Hii ni tafsiri yako ila si ya mkataba IGa
Lete hio IGA ya ukweli maana ilivuja si ya kweli....IGA imepotoshwa mpaka tumeshindwa kuitazama kwa akili za kawaida tu. Ingekuwa na nguvu sawa na inavyotamkwa hizi barua za TPA zinazoongelea tender za uendeshaji wa bandari zisingeweza kutolewa.
Unapoona zabuni inatangazwa maana yake yule mwingine aliyepatikana hana mamlaka juu ya huyo anayetafutwa.
IGA iliyovuja ni ya kweli na aliyevujisha sasa hivi yupo lupango.Lete hio IGA ya ukweli maana ilivuja si ya kweli....
Pili asojua serikali yetu janja jinga ni nani??
Ni hisia zilizokua proven acha kutetea ujinga watanzania tushavuka huko...IGA iliyovuja ni ya kweli na aliyevujisha sasa hivi yupo lupango.
Kwamba serikali yetu ni janja janja ni hisia tu za kitanzania.
Nashauri waongeze magereza na wayaboreshe maana kesho wataingia waoKwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
View attachment 2748697
Mbona mnamdhalilisha Magufuli namna hii? Yaani kweli Magufuli angwachekea hawa akina Mwabukusi, Mdude, Lissu na Slaa?Naona mama ameamua kuwa kama Magufuli.
Ni mwendo wa kuwashughulikia wote wanaokosoa utendaji wa Serikali yake.
Ameamua kuvaa rasmi viatu vya mwendazake
Hukumu ya kurasa tisini na saba imeonyesha kuwa Mwabukusi na wenzake hawajui sheria za kimataifa, ni aibu ya kitaifa ile.Ni hisia zilizokua proven acha kutetea ujinga watanzania tushavuka huko...
Kuhusu iyo IGA nikuletee hukumu yake kutoka mahakama kuu mbeya usome kwakutulia ili uelewe au unajua unajizima data mzee??
Ndicho ulichoelewa katika kurasa hizo zote ennhh?? Basi mi sibishani na tahira smart ngoja ninyamazeHukumu ya kurasa tisini na saba imeonyesha kuwa Mwabukusi na wenzake hawajui sheria za kimataifa, ni aibu ya kitaifa ile.
Nakuhakikishia suala zima la DP World lina faida sana haswa kwa wafanyabiashara wakubwa wanaotumia bandari yetu sisi tunaopinga wengi wetu ni wanaharakati tu, wadandiaji wa mada mbalimbali bila ya kuwa na uelewa wa kina wa nini kinachofanyika.
JPM angeshawapoteza kitambo hao wanaharakati wasio na uelewa wa masuala mengi ya sheria za kimataifa na masuala ya bandari.Mbona mnamdhalilisha Magufuli namna hii? Yaani kweli Magufuli angwachekea hawa akina Mwabukusi, Mdude, Lissu na Slaa?
Au ulitaka kumaanisha nini ndugu Mzee Kigogo
You too?JPM angeshawapoteza kitambo hao wanaharakati wasio na uelewa wa masuala mengi ya sheria za kimataifa na masuala ya bandari.
JPM alimnyamazisha Father Kitima asingeshindwa kuhakikisha DP World wanaingia mkataba mapema.
Father Kitima jumapili anasalisha misa makanisani na siku zinazobakia anakuwa meneja wa kampeni za urais za Tundu Lissu!, analiingiza kanisa zima kwenye siasa zake za kibinafsi za kumpinga mwekezaji kwa kuandika waraka kabisa.
Leo hii tender nyingi tu zinatangazwa na TPA, ni aibu kubwa sana kwa wote walioandika ule waraka bila ya kujua kwa kina mipango ya serikali ni ipi!. Katengeneza ufa kati ya TEC na serikali kwa ubinafsi tu wa kibinadamu.
Yule mchungaji mwenye sifa ya kulewa sana konyagi alipoongea alionekana ni mlevi tu anayepayuka, kumbe alikuwa na hoja za kina na za halali kuhusu upotoshaji wa ule waraka.
Umeusoma mkataba wa IGA kweli wewe?Hakuna anayeweza kuuza bandari ni uelewa wetu kuwa mdogo na kuwasikiliza sana wanaharakati wenye kupotosha jamii wakiwa na malengo maalum.
Bandari inakodishwa, hii ya Dar inakwenda kuwa na wapangaji wawili DPW na mwingine wa magati namba nane mpaka namba kumi na moja.
Ile ya Tanga inakwenda kuwa na mwendeshaji mmoja, ile ya Bagamoyo inakwenda kuwa na mwendeshaji mwingine.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kuhitaji mtu kuyatazama kiuchumi, mtu tu layman mwenye uelewa mdogo wa masuala nyeti hawezi kuelewa nini haswa kinachotafutwa.
Tunatoka katika mfumo wa mmiliki wa bandari kuendelea kumiliki yeye kama yeye tunaingia katika mfumo wa Land lord Port ambao mwendeshaji mkuu TPA anakuwa na wapangaji wengine ili kuongeza ufanisi na kurahisisha mzigo mwingi sana uliopo ndani ya Tanzania na nchi zinazotuzunguka kuweza kuyafikia mataifa ya nje haraka.
Kuna tani zaidi ya milioni 30 za mizigo mbalimbali inayotakiwa itoke huko bara na kwenda nje ya nchi, huo ni mzigo mwingi sana na kwa aina ya uendeshaji wa kizamani wa bandari tulionao hakuna nafasi ya kitaifa kuweza kuinuka kiuchumi.
Haya ni masuala ya kiuchumi yenye kutaka ufafanuzi wa kina wa kiuchumi, huu sio wakati wa kufikiria kizamani halafu matokeo ya ufikiriaji huo yawe na mashiko kwenye maisha ya kisasa.
Unaomba safari ni ngumu ujue upo karibu kupika!Safari inazidi kuwa ngumu
Hata ng'ombe akikata roho wakati unamchinja kaa Mbali na miteke yakeGiza likizidi sana ndiyo ujue kunaelekea kupambazuka
Cha ajabu akapotea yeye tena chini ya ardhi na kugeuka mavumbi ya udongo kama tu ambavyo hawa nao wanaindea njia hiyo hiyo..!!JPM angeshawapoteza kitambo hao wanaharakati wasio na uelewa wa masuala mengi ya sheria za kimataifa na masuala ya bandari.
Mjinga wewe. Kumbe unajiandikia tu ukiwa huna kumbukumbu juu ya mambo haya...JPM alimnyamazisha Father Kitima asingeshindwa kuhakikisha DP World wanaingia mkataba mapema.
Aliyeshiriki kuuandika mkataba kifungu kwa kifungu ndiye aliyenifafanulia kila kitu kilichomo mle.Umeusoma mkataba wa IGA kweli wewe?
Au unaandika tu kwa kutumia fikra na hisia zako badala facts zilizo mezani?
Kama hawa mafisadi wenzako wanafukuza ndugu zao wamasai toka Ngorongoro au Loliondo ili ardhi ya hifadhi ya maeneo hayo wapewe wageni toka mataifa mengine iwe ni kwa kupangisha, kuwekeza au kukodisha au kuwapa bure tu, unadhani wanashindwa nini kugawa bure bandari zetu za Tanganyika?
Na the fact na kwa mujibu wa mkataba ule wa IGA, ni kuwa bandari zote za baharini na maziwa yetu ya Tanganyika, mwaarabu amepewa bure huku watawala hawa wajinga wa CCM wakidhani kuwa kuna mikataba mingine iitwayo HGA ndiyo itakayokuwa na manufaa kwa Tanganyika!!
Hizi ni fikra za kijinga na kipumbavu sana..!
By the way, ni kwanini nyie watawala hamjifunzi kwenye mikataba mingine ya madini, gesi, mafuta na mingine mingi mliyoingia huko nyuma na ambayo kama nchi tulipigwa na sasa tunalipia gharama kubwa kuliko maelezo?
Kama nyie hamjifunzi basi, sisi wananchi na wenye nchi tumeshaliona hilo na tumejifunza ktk namna ngumu sana na kwa hiyo, tutawapinga mpaka mwisho mtoweke na mpotee kabisa..!!
Mkataba wa IGA ungekuwa unatubana zisingesambazwa hizi barua za TPA zenye kualika makampuni yenye uwezo wa kuwekeza yaje yawekeze.Cha ajabu akapotea yeye tena chini ya ardhi na kugeuka mavumbi ya udongo kama tu ambavyo hawa nao wanaindea njia hiyo hiyo..!!
Mjinga wewe. Kumbe unajiandikia tu ukiwa huna kumbukumbu juu ya mambo haya...
Ngoja tukukumbushe...
Ingawa Hayati Rais John P. Magufuli alikuwa katili na muuaji, Lakini kwenye kutetea mali na rasrimali za nchi yake kupitia mikataba mibovu na ya kijuha iliyoingiwa na kina Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete alikuwa vyema japo hakuwa anatumia njia sahihi wala kusikiliza ushauri wa "asiowapenda"..
Mbele ya hayati Rais Magufuli, hawa waarabu wa Dubai na kampuni yao ya DP World wasingejaribu hata kuleta ujinga na upumbavu wao huu.
Mathalani, Magufuli alipokalia kiti cha u - Rais mwaka 2015, alikuta Jakaya Mrisho Kikwete anataka kuingia mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na wa - China wenye thamani ya mabilioni ya dola na wenye maudhui kuwa wachina waijenge, waiendeshe na kuisimamia wao hiyo bandari kwa miaka 99...!
Hayati Rais Magufuli alisema, "...ni kichaa pekee anayeweza kukubaliana na mkataba wa namna hii...!". Hiyo ilikuwa bandari moja tu ya Bagamoyo.
Vipi huyu mama na nyie wenzake mlioingia mkataba usio na ukomo kabisa na usioonesha faida na malipo atakayotoa kwa nchi na waarabu wa Dubai kupitia kampuni yao ya DP World kuwapa bandari zote tena za upande mmoja tu wa muungano yaani Tanganyika?
Nyie na mama yenu Samia Suluhu Hassan mnadhani ni vichaa wa kiwango gani kwa mujibu wa mwanaCCM mwenzenu Hayati Rais John P. Magufuli..?
Bila shaka Rais Samia Suluhu Hassan na nyie mnaomshabikia na kumuunga mkono ni vichaa +++ wa kiwango cha barabara ya vumbi..!
Magufuli asingewafanya chochote zaidi wangekuwa rafiki zake, Magufuli asingekubali mkataba unaomlazimisha kukitokea mgogoro na mwekezaji mahakama zetu hazihusiki, na huku yeye ndiye aliyekuwa nyuma ya sheria ya raslimali 2017 kutungwa.JPM angeshawapoteza kitambo hao wanaharakati wasio na uelewa wa masuala mengi ya sheria za kimataifa na masuala ya bandari.
JPM alimnyamazisha Father Kitima asingeshindwa kuhakikisha DP World wanaingia mkataba mapema.
Father Kitima jumapili anasalisha misa makanisani na siku zinazobakia anakuwa meneja wa kampeni za urais za Tundu Lissu!, analiingiza kanisa zima kwenye siasa zake za kibinafsi za kumpinga mwekezaji kwa kuandika waraka kabisa.
Leo hii tender nyingi tu zinatangazwa na TPA, ni aibu kubwa sana kwa wote walioandika ule waraka bila ya kujua kwa kina mipango ya serikali ni ipi!. Katengeneza ufa kati ya TEC na serikali kwa ubinafsi tu wa kibinadamu.
Yule mchungaji mwenye sifa ya kulewa sana konyagi alipoongea alionekana ni mlevi tu anayepayuka, kumbe alikuwa na hoja za kina na za halali kuhusu upotoshaji wa ule waraka.
Magufuli aliingizwa choo cha kike na washauri wake, na kwa kuwa alijenga SGR kwa pesa nyingi asingekuwa na jeuri ya kukataa mkataba unaoleta mteja mpya anayekwenda kuitumia reli hiyo mwaka mzima.Magufuli asingewafanya chochote zaidi wangekuwa rafiki zake, Magufuli asingekubali mkataba unaomlazimisha kukitokea mgogoro na mwekezaji mahakama zetu hazihusiki, na huku yeye ndiye aliyekuwa nyuma ya sheria ya raslimali 2017 kutungwa.