Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
- Thread starter
- #61
Hilo tangazo ni zuga tu, Dp world ameshapewa BandariMkataba wa IGA ungekuwa unatubana zisingesambazwa hizi barua za TPA zenye kualika makampuni yenye uwezo wa kuwekeza yaje yawekeze.
Umeandika maneno mengi lakini ni pumba tupu. Bandari zote zinahitaji waendeshaji mahiri na watapatikana kulingana na uwezo wao, Siasa za JPM eti alipinga uwekezaji, ni kwa sababu aliingizwa chaka na Kipilimba aliyekuwa boss wa TISS wa wakati ule na alipokuja kugundua kosa lake akamtimua mara moja.
Ukiwa na akili za kijamaa zisizokuwa na uwezo wa kubadilika ndio utakuja na hoja nyingi za kusema sisi wenyewe tuendeshe bandari zetu!, hatuna uwezo huo mkuu.
Teknolojia pekee ni mtihani kwa uendeshaji wetu. Achilia mbali tabia za wizi na ufisadi ambao kila mwaka CAG anauweka wazi.