Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

Mlitabiriwa, ujio wa hiyo dini yenu ulitabiriwa na mtapotosha wengi wadhaifu katika Imani, mtakata hata vichwa vya wakristo mkiwalazimisha kujiunga kwenye hiyo laana yenu.

Atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka
Unawachokoza!! Shauri yako!
---Ila Nchi hii, huwa tunashabikia sana vitu vyo hovyo. Nakumbuka mtu huyu, alishakaribishwa mpaka Bungeni na Spika Ndugai. Na kuna ziara moja ya Wabunge nje ya Nchi, walienda naye! Kisaaa.... Ule msemo wake wa KILEVI eti JPM atakuwa juuuuuu, Ndugai atakuwa juuuuu! Nilichoka kabisa!
Leo hii, kabadilisha JEZI, tayari imekuwa HABARI!!!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Lazima akili yako iwe fyatu kidogo ili kuamini hizo story za mudi. Eti full package wakati mudi mwenyewe alipiga katoto ka miaka 9. Au siyo kweli?
Kwani we umeona jambo la ajabu hilo, hilo jambo litakuwa la ajabu kwako kama huijui historia vizuri..

Na kwa hoja hii (hoja za miaka 90's hizo) inaonesha namna gani upo fyatu.
 
Kwa hiyo nyie hicho kitabu chenu mnafungua kuanzia kulia kwenda kushoto? Nipe hilo andiko la Biblia linalosema hizo story za mudi za mabikra na mito ya pombe, maziwa na asali
 
Ameanza tena kipindi cha uchaguzi, asije akaja na mpya, lengo kupumbaza watu ..
 
 
Kwa hiyo nyie hicho kitabu chenu mnafungua kuanzia kulia kwenda kushoto? Nipe hilo andiko la Biblia linalosema hizo story za mudi za mabikra na mito ya pombe, maziwa na asali
nilijua ni yule yule kichwa maji ety ndio anaomba andiko, kama ni wewe ngoja nikupe andiko halafu nipime upeo wako
 
"Safari ya pepo siyo rahisi kama tunavyofikiri"😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
 
😅😅😅
 
Where is the logic? Kwamba kitu kinachotokea mara nyingi ndicho kitangazwe, kinyume na kinachotokea kwa nadra! Ungetegemea kinachotokea kwa nadra ndicho kiwe habari ya kutangaza. Kwa mfano hutangazi kwamba baa fulani ilijaa wateja siku ya Jumamosi kwa kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini ikitokea kwamba siku ya Maulid Waislamu walikuwa wakinywa bia msikitini, hilo litakuwa jambo la kutangaza kwa kuwa si kawaida. Vivyo hivyo, unasema Muislamu kuwa Mkristu ni nadra. Basi tukio hilo ndilo lingekuwa la kutangaza. Siyo Mkristu kuwa Muislamu kwa kuwa unasema hilo linatokea kila leo. Mfano mwingine ni kwamba kama mtu atamuuma mbwa, hiyo itakuwa habari ya kutangaza kwa kuwa siyo kawaida; ambapo mbwa akimuuma mtu hiyo siyo habari, per se, ya kutangazakwa. Hakuna ajabu yo yote hapo. Habari itajitokeza pale tu kuna madai ya fidia ndipo itajulikana kwamba mbwa alimuuma mtu. Hatutangazi kama habari kwamba mbwa alimuuma mtu kama habari yenyewe.
 
Huyu ilitegemewa maana GSM angemtupa angeishije? Kula yake pale Silent Ocean inategemea baraka za GSM.
 
Kabadiri dini fayimah yule mnzizi mwanzake rayvan kuna aliye andamana au akili yako ina funza?
 
Nilipomwona anashinda pale Silent Ocean hana kazi anakimbizana na docs hovyo hovyo wala sijashangaa.Ukizingatia pale kuna msikiti watumishi wanashindana kuswali wakati huo huo ni majambazi balaa.

Kazi za heshima wamepewa waarabu huku waafrika wakifanyakazi za kitumwa tumwa.

Ukienda silent ocean godown utagundua hii nchi imefika mahali pa hovyo sana.
 
Huko ndo Mahala pake yeye na wengine wa aina yake, Sura tu inaonyesha si timamu🤔.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…