Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Unawachokoza!! Shauri yako!Mlitabiriwa, ujio wa hiyo dini yenu ulitabiriwa na mtapotosha wengi wadhaifu katika Imani, mtakata hata vichwa vya wakristo mkiwalazimisha kujiunga kwenye hiyo laana yenu.
Atakayevumilia hadi mwisho ndiye ataokoka
---Ila Nchi hii, huwa tunashabikia sana vitu vyo hovyo. Nakumbuka mtu huyu, alishakaribishwa mpaka Bungeni na Spika Ndugai. Na kuna ziara moja ya Wabunge nje ya Nchi, walienda naye! Kisaaa.... Ule msemo wake wa KILEVI eti JPM atakuwa juuuuuu, Ndugai atakuwa juuuuu! Nilichoka kabisa!
Leo hii, kabadilisha JEZI, tayari imekuwa HABARI!!!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app